Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

VIBARAKA mnahangaika kweli kweli! Kwani Acacia ni nani!! Wakati mumewe (Barick) ameshakubali na kusaini matakwa ya serikali.

Ndugu, sina hakika kama kuna mtu mtanzania awaye yeyote ambaye anakataa ama atazikataa fedha tutakazolipwa na ACACIA iwe Trillion 400, 500 ama 1,000 ama hata hizo USD300m....

Shida ni je, kweli kuna kitu kama hicho ama tunapigwa siasa za kijinga na kilaghai tu za Chama Chenu Cha Makinikia - CCM ??

Kwangu mimi tatizo liko hapo tu kwani kuna kila dalili kuwa mambo haya yako far beyond the reality....!!

Hayana uhalisia, ni siasa tu zinazopigwa na Magufuli na whether he likes it or not, kwa ujinga na mwenendo huu mambo yatamshinda tu ngosha na ninyi watetezi wake mtaanza kuishia mmoja baada ya mwingine...!!

Tumeibiwa kwenye mikataba ya kisheria na wazungu na wala hawakuvunja milango na kuingia kuiba hawa....!!
 
Sawa mkuu. Wewe unajua kuliko wanasheria wa Barrick na akina Kabudi waliofikia uamuzi huu. Nimekuelewa mtaalamu.
Labda nikuulize kidogo kama hao wanasheria wa barrick na huyo kabudi ndio unawaamini sana vipi kuhusu Chenge, Werema na Mwanyika ambao ndio waliosani mikataba ya kishenzi na hao wanasheria wa Barrick hadi kutufikisha hapa tulipo je hawakuwa na akili?
 
Watanzania, kuweni wazalendo utafikiri sio raia wa Tanzania???
Damn Africa
 
Back
Top Bottom