chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Kaka punguza jazba,ondosha hisia katika hili,fanya utafiti ujiulize kwanini Accacia ndio walipe hilo deni,kama ulisikiliza hotuba ya John L thornton utafahamu kwanini Accacia imeingia katika hili sakata wakati Tanzania ilifanya mkataba na Barrick.....Walisema tutanyolewa bila maji. Wakasema kwenye mazungumzo tumepigwa, sasa wanasema Accacia hawatalipa. Acheni ubwege nyie. After all mazungumzo hayajaihusisha Accacia. Mwambieni huyo mjinga mwenzenu anawalisha maneno ya uongo mnyamaze watu tufanye kazi zetu. Nyie subirini kuchukua nchi kwenye maisha yajayo (In next life) Hapo nasisitiza.