Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM
 
Kura za maoni za CCM kwa ajili ya kumpata mgombea wa jimbo la Uchaguzi Arumeru kurudiwa tarehe 1/03/2012!!
Hii ni kwa mujibu wa Nape akihojiwa na Clouds!!
 
nape anaongea kwnye jahaz anasema utarudiwa tarehe 1 mwez wa tatu na utacmamiwa na msekwa na wengne wawil.watakao rudia ni sioi na sarakikya.naomba kuwaclish
 
Source Nape..! uchaguzi kurudiwa kati ya SIOI SUMARI NA william sarakikya.....msimamizi atakuwa msekwa.!
 
Na hao waliotoa rushwa kumpitisha Sioi wawajibishwe tafadhali. Hebu tupe habari, kuhusu swala la uraia wamefikia wapi, au wamelipotezea?
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amethibitisha hayo muda mfupi uliopita kupitia Jahazi-Clouds fm.Kamati kuu imependekeza uchaguzi kurudiwa kwa washindi wawili wa kwanza wa kura za maoni zilizopita.Kwahiyo W.Sarakikya na Sioi ndio watakaochuana tar 1/3/2012 kupata mgombea wa CCM.Nape amesema wanarudia kwa sababu aliyeongoza hakupata zaidi ya asilimia 50%!
 
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM

Hii sheria ya asilimia 50 plus mbona siku nyingi haifanyi kazi! au ndiyo kubebana? hapa ni kwamba mmoja alikuwa na kashfa ya kutumia rushwa na adhabu yake ilikuwa kuondolewa na mshindi wa pili kuchukua nafasi!! kilichofanyika sasa ni uchakachuaji!!
 
taarifa za hivi punde ni kwamba kamati kuu ya halmashauri kuu ya ccm imeamua uchaguzi wa kura za maoni kumpata mgombea wa chama hicho katika jimbo la arumeru mashariki urudiwe machi mosi kwa mshindi wa kwanza siyoi jeremia sumary na mshindi wa pili william sarakikkya.katika uchaguzi uliopita mshindi hakuvuka nusu ya kura hivyo haitohi picha kamili habari ndo hiyo nmawasilisha
 
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM

katiba yao inasemaje, kuwa mshindi afikishe above 50% of the votes? Sina uhakika au imebadilika leo hii katika maoni haya tu.
 
taarifa za hivi punde ni kwamba kamati kuu ya halmashauri kuu ya ccm imeamua uchaguzi wa kura za maoni kumpata mgombea wa chama hicho katika jimbo la arumeru mashariki urudiwe machi mosi kwa mshindi wa kwanza siyoi jeremia sumary na mshindi wa pili william sarakikkya.katika uchaguzi uliopita mshindi hakuvuka nusu ya kura hivyo haitohi picha kamili habari ndo hiyo nmawasilisha

Kama ni kweli hili ni bora warudie, na vyema ziwe vilevile ili tuone kuwa itakuwa vipi!!! Hongera kwa kuleta taarifa yenye mvuto kwa wengi!!
 
kamati kuu ya CCM imeamua mshindi wa kwanza na wa pili washindanishwe kupata mshindi kati ya Sioi na Willian Sarakikya
 
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM
Kama hii ni kweli, na walishamtangaza Sioi, basi kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa sasa, ina maana hawakujua kwamba hakuna aliyefikisha 50% hadi waende mbele?

I guess hata hiyo campaign timu yote inabidi kuwekwa pembeni, kwani haya yalitakiwa yaishie ndani sio kutoka na kurudi
 
Back
Top Bottom