Elections 2010 kura ya mrema ya urais itaenda wapi mwaka huu?

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
kwa tathmini nyepesi ya yanayojiri kichwani mwa mh. augustine mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP, mnadhani ya urais wa JMT atampigia nani mwaka huu, JK (CCM), DR slaa (CHADEMA) au mutamwega mugahywa (TLP)?
 
Akili mu Kichwa,
Kwa jinsi alivyokuwa anamfagilia mgombea wa CCM kura ya Mrema tayari inajulikana itakwenda kwa nani.
 
kwa jinsi anavyojikomba kwa kiwete lazima atampigia kiwete bin vasco dagama ......! rais anaeua uchumi wa nji hii..!
 
na wale waliowahi kumpigia mrema wa nafasi ya uraisi kura zao zitakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom