Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm

Cogratulation coz umetoa sababu na maoni yako ila naomba nikucrush kidogo
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria co kweli kwakua ye anafahamu hiyo factor na ameamua hivyo kwakua anajua umri wake
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka hii yaweza kua kweli kwakua ameamua mwenyewe kugombea
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima Busara anazo sana ndo maana akitoa point ya msingi hua ikitoa hoja yoyote hatakama ni nyeti kiasi gan hua hapigi makelele kwa wananchi kila mara badala yake anatoa ushauri kwa mamlaka husika, hii ni tofauti na Dr slaa ambapo yeye hua kila mjadala anaouleta lazima atafute nguvu ya maandamano ya wananchi. hapo kwelikuna busara gan jaman kama kila kosa la serikali bac tunaambiwa tuandamane?
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm. hii ni kwasababu zito ni mshauri mzuri kwa ccm mbali na kua mpinzani wao na hii ndo busara na uzalendo wa kujenga nchi yetu

Note: am sorry mkuu for these coments naamin ndan ya points zako na me utazipata zakwangu japo hazijafika 4 kama alivyoagiza mtoa mada hapo juu.
 
Zitto ana hoja nzito zaidi kuliko slaa, pia zito anabusara sana ndo maana kila hoja anayoleta hua anatoa ushauri badala ya kulauimu tu au kuitisha maandamano kama anavyofanya Dr slaa na chademas wengi.

Ndo maana CCM wanamkubali zito mbali na zito kuwapinga mara kwa mara zito anaonyesha uzalendo zaidi kwakuishauri serikali mambo mazur bila kujali ye nimpinzani.

Jambo jingina naona kama Dr. anapiga sana kelele hadi anatuchanganya wananchi tuache uzalishaji mali tumsikilize mwaka mzima eti kisa anatafuta nguvu ya wananchi, hili me siliafiki hata kiduchuh!


Kwangu zito ni Mzito kuliko Dr na hivyo nimempitisha.
 
1. Mroho wa madaraka
2.Anatuhumiwa kwa rushwa na kutetea wala rushwa bungeni
3.Kigeugeu i.e kutoka nje ya bunge kwa jambo ambalo cdm halikubaliani nalo
4.Kibaraka wa ccm ili kuangamiza cdm kwa bei chee
 
Zitto Kabwe anakila sababu ya kugombea kuwa rais kama chama chetu cha CHADEMA ni cha demokrasia ya ukweli,kila mmoja ananafasi ya kugombea sisi sio CUF kwamba kila msimu ni Lipumba tuu!!,anawezo ni mahili,ni hodari tusimbague kwasababu katoka Kigoma.
 
Kama vile shibuda.....!?

Huyu jamaa naona ana udini sana. Sasa haya ya PADRI yametoka wapi. Tumjadili Dr. Slaa na Zito badala ya dini zao kwa sababu dini zao sisi hazitatuletea maendeleo. Kwangu mimi Dr Slaa anafaa kuwa RAIS badala ya Zito. Ninonavyo mimi hata Zito ukimuuliza kwa nini anataka kuwa RAIS jibu anaweza asikwe nalo zaidi ya kwenda kutamba kama anavyotamba na magari yake ya bei mbaya. Tumemuana anavyotetea Mafisadi wa Tanesco eti anatetea kuwa taratibu zilikiukwa yaana alitaka tuendelee kuteseka kwa kununua nguzo za umeme mara mbili just because taratibu zifuatwe! huyu jamaa hatufai hata huko CHADEMA anatakiwa awe ameshatolewa.

Hayo mambo ya UDINI hayatatufikisha popote. Tujitahidi kumjadili mtu badala ya dini.
 
Nina wasiwasi na akili zako.

Yaani mtu hutaki kuafiki naye na unaendelea kumsikiliza mwaka mzima?

Hivi mara ya mwisho umemsikiliza lini? Naona hata Tanzania huifahamu wewe.

Sisi huku Sikonge hatujawahi kumuona hata siku moja zaidi ya kumchungulia kwenye TV.

Tunamsubiri sana kwa hamu afike huku Sikonge aamshe nguvu ya Wanyamwezi.
Zitto ana hoja nzito zaidi kuliko slaa, pia zito anabusara sana ndo maana kila hoja anayoleta hua anatoa ushauri badala ya kulauimu tu au kuitisha maandamano kama anavyofanya Dr slaa na chademas wengi.

Ndo maana CCM wanamkubali zito mbali na zito kuwapinga mara kwa mara zito anaonyesha uzalendo zaidi kwakuishauri serikali mambo mazur bila kujali ye nimpinzani.

Jambo jingina naona kama Dr. anapiga sana kelele hadi anatuchanganya wananchi tuache uzalishaji mali tumsikilize mwaka mzima eti kisa anatafuta nguvu ya wananchi, hili me siliafiki hata kiduchuh!


Kwangu zito ni Mzito kuliko Dr na hivyo nimempitisha.
 
naona watu wengi wamekuwa banned kwenye hii thread! na nipozidi kwenda chini naona pumba zinazidi hebu nipite tu hapa ..

P.S - NIME VOTE FOR ZITO
 
Mleta mada unamaana gani kuwapandisha ulingoni mzee wa miaka 70 na kijana machachari kama huyu..watu wa haki za binadamu watakufungia
zitto zuber ni moto wa kuote mbali,2015 rais
 
Zitto kabwe
ndiye mgombea urais mwaka 2015,dr.slaa ameishiwa nguvu kabisa hata kusiamam jukwaani ni kwamsaada wa whilechair ifkapo 2015...anayemaliza nguvu ni yule j.m
 
Sikio aliwezi kuzidi kichwa hata siku moja, na mtoto hawezi kumfikia kaka yake kiumri hata kama maiaka inakwenda.
 
Nina wasiwasi na akili zako.

Yaani mtu hutaki kuafiki naye na unaendelea kumsikiliza mwaka mzima?

Hivi mara ya mwisho umemsikiliza lini? Naona hata Tanzania huifahamu wewe.

Sisi huku Sikonge hatujawahi kumuona hata siku moja zaidi ya kumchungulia kwenye TV.

Tunamsubiri sana kwa hamu afike huku Sikonge aamshe nguvu ya Wanyamwezi.

ha ha, kwahyo Dr akija sikonge wanyamwezi no kwenda shamba co!? Ila kiukweli Dr co mbaya sana tunachozungumza nikwamba zito Zuber anamzidi sana kiuwezo kuongoza nchi!
 
am indifferent,
1) hakuna ambaye ananiongoza nikaona utendaji kazi wake
2.) wote wapo chama kimoja which means watafata sera sawa
3) nawaskia tu kwenye vyombo vya habari na hakuna kitu kinadanganya kama mdomo nina wasiwasi wanayoyasema wana uwezo wa kuyatimiza
 
Ni kweli ni bora pia ungemshindanisha zito na mwigulu nchemba huyo ndo saizi yake na wala si slaa. Kumshindanisha zito na slaa ni sawasawa na kumshindanisha sungura na tembo.
Mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii

tuacheni dharau kwa rais wetu
 
Sion hata pa kuanzia!
Likn kumlinganisha zitto na Dr slaa ni kukosa kufikiri!
Ditto Ana nini zaid ya kujiangalia yeye kwenye chama?
Kilakukicha anashuka chat kaa ccccm. Pole yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom