Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Naomba muwafikishie meseji pia salamu hao wanaojitangazia kuwania uraisi nje ya vikao halali vya chama, wambieni tumewabahini kuwa wanatumiwa na ccm baada ya ccm kuona haitawezekana kumshinda kirahisi dr wa ukweli, kipenzi chetu.
Dr w slaa, aka baba wa taifa wa ukweli baada ya j . K nyerere
 
wewe unampenda ZITTO kwa vile ni muislam mwenzio.
suala hapa si dini, umri au kabila la mtu. Kikubwa tuangalie je huyo mtu anayeutaka urais anazo sifa????????

Nina imani kumteua zitto z kabwe si sababu ya udini kwani nina uhakika kwa imani zetu zote za dini zetu marais tayari wamepita na hakuna lolote
 
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm


5.Ni kijana wa Jack Zoka ishu ya madoctor na mateso ya Ulimboka amekaa kimya kwakuwa anaye mlisha na kufundisha mbinu za kuiharibu CDM ndiye husika mkuu ...........kuna siku atamsaliti Nzoka nayeye atammaliza tu Kigeugeu number One
 
Magamba watakuwa wanafurahia sana hii mada Zitto is real a thorn in CDM flesh it must be removed somewhere somehow
 
Zitto.
ametulia na anafit diplomatic post
hana papara, haongei hovyphovyo bila kupima
yupo fair, haendi tu kwa masilahi ya chama, ila yupo kwa maslahi ya taifa (wana CDM hususani wa JF wengi wananamuona hafai kwa sababu hii bila kuangalia utaifa zaidi)
wana JF wengi wapo Chadema na mlengo wa kaskazini, na harufu ya udini. Mi Mkristo ila kwa jina la Yesu naguswa na Zito sio kwa uslamu wake wala ukristo wake.
hatumii maneno makali ya kuashiria kutukana, ila point inaingiza zaidi kuliko anayetumia mithiri ya matusi
Dr namkubali ila relatevely its Zitto
 
sababu za kumpiga chini ZITTO
1. hajui katiba ya CHADEMA inasema nini kuhusu taratibu za kugombea urais.
2. ameshindwa kuelezea mahusiano yake na matumizi yake katika gazzete la MWANANCHI.
3. ANAPENDA kukinzana hadharani na misimamo ya chama chake ili kupata credibility za wapinzani wa CHADEMA.
4. HILI la TANESCO hawezi kulikwepa kutumikia baadha ya mafisadi na huu mgao feki wa umeme.
 
zitto atapata kura nyingi akigombea urais kuliko slaa,Slaa ni mzee kwa sasa.

Mkuu, yawezekana unachokisema kina ukweli kwa sababu vijana ni wengi kuliko wazee.
Ila ninaamini kwa TZ ya sasa, vijana wengi wanauelewa wa siasa na wanauchungu na hali mbaya ya maisha waliyonayo kuliko awali.
Wakimchagua kiongozi ni kwa ajili maendeleo yao kuliko ushabiki wa kisiasa.

Enzi hizo mtumishi wa umma akiibia serikali alikuwa akisifiwa kwamba "mjanja yule, kawaacha".
Leo hii tofauti, ukiwa na pesa zinazotiliwa shaka na jamii, wanakudharau na kukuchukia kwamba ni fisadi, na hususan vijana ndio wanaoongoza katika kuchukia mafisadi.

Hivyo, wanataka kiongozi mkweli, mwaminifu, atakayewajali, atakayeinua uchumi wa wote na si wachache, asiyependa ufahari, anayeridhika na mwenye uchungu wa dhati na nchi hii. Hizi ni baadhi tu ya sifa chache za kiongozi ambaye vijana wengi wangependa wamchague.

Kwa haya machache utaweza kujua ni nani.
 
Kuna tofauti gani kati ya Zito na Shibuda??

07_11_vka7ms.jpg
 
CHADEMA kupata misukosuko kama hii inayoratibiwa na wabaya wake kwa ajili ya kuvuruga umoja uliomo ndani ya uongozi wa chama hicho kwa wakati huu, binafsi naona ni jambo ambalo halitakiwi kuchukuliwa kwa mtazamo hasi.

Jambo hili inabidi liwepo ili kuimarisha umoja huo ndani ya CDM. Chama kisipopata misukosuko midogomidogo kama hii mapema kutakuwa legelege kitakapokumbana na misukosuko mikubwa huko mbele.

Cha maana hapa ni CDM na vyama vingine vyenye nia ya kuongoza taifa hili kutumia migogoro hii ya kusukwa na wabaya wao kujiimarisha katika mbinu za kukabili migogoro ya namna hii.

Kutokana na kuimarika kwa CDM haswa hapa Tanzania tunatarajia pia hata mbinu za kuivuruga CDM kuboreshwa pia. Mbinu hizo zaweza kuwa za namna nyingi kama kuanzia "Poll" ya kulazimisha migawanyiko ndani ya vyama kwenye mitandaao ya kijamii inayotembelewa na wanachama wengi wa vyama husika.
 
Kwa kweli mimi ndiyo nimejiunga leo ndugu zangu lakini kumlinganisha Slaa na Zitto ni sawa na kulinganisha Kichuguu(Zitto) na Mlima Kilimanjaro(Slaa), ninaona hakuna haja ya kupoteza muda kwa hili.
 
Eee! ama kweli huyu bwana ni mnafiki kicheko hicho si bure hapo chochote kinaweza kusemwa.
 
Huwezi kimfananisha Zitto na Dr slaa. Dr slaa atawapeleka court wote mafisadi. Zitto hawezi hilo.
 
zitoo bado ,2025 itakuwa mudaa muufaka kwake,busara zatakuwa zmeongezeka zaid
 
Nampa kura mgombea kupitia Chadema.Ushauri wangu kwa Chadema.
1.CCM 2015 mgombea urais atakuwa mgeni kwa wananchi na itaitaji ushawishi na nguvu kubwa kumtangaza.
2.CHADEMA 2015 wakimtumia Slaa itakuwa rahisi na tayari anajulikana kwa wananchi na anamtaji wa kura za 2010.
NI MAONI YANGU.
My take: hata kafu walisema Igunga wana mtaji wa kura 100,000.So kuna haja ya kulinda na kuongeza heshima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom