Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya zitto zuberi kabwe ama wilbroad peter slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na kwa nini? Toa sababu kuu nne tu.
uzaifu wa kwanza wa zitto ni kuwa yuko bungeni lakini kapitisha sheria ya kuwanyonya wafanyakazi mafao
 
Zitto si saizi y Dr. Slaa kabisa, saizi yake ni akina Mnyika, Mdee na wenzake. Aache mdomo hana ubavu wa Urais bali anatumiwa na CCM. Na kuna siku tutamuanika peupee ili aache upopo wake ndani ya Chadema.
 
Huwezi linganisha DR wa ukweli na vijidagaa wa juzi.Umri wao bado sana,wacha wakue kwanza ndo uwalinganishe na kuwafanyia poll
 
hao wote kila mtu agombee kivyake then kura zao zidisha mara 4 hawawezi kufikia hata nusu ya kura za EDWARD NGOYAY LOUWASA (jembe ulaya)
 
Jamani mbona mleta mada matokeo haya hapa!

  • Zitto Z. Kabwe


    412.90%
  • Wilbrod P. Slaa


    2787.10%

 
Ni kweli kabisa mkuu ni dharau kubwa sana hapa kihalali labda level ya ZZK ni MBOWE na sio SILAA hawa ZZK na MBOWE ndio walioifikisha CHADEMA hapo ilipo sasa na si huyo BABU BACHELA

Unajua kazi ya kichwa ni kutumia akili na si kufuga nywele. Ungetumia akili ungekumbuka kwamba CHADEMA ilianzishwa siku 43 baada ya Sheria ya Vyama vingi kuanza kutumika July 01, 1992. Hivyo, mwanachama wa kwanza wa CHADEMA ni aliyeingia uanachama tarehe August 12, 1992.

Dr. Willibrod Slaa alienguliwa na CCM ulipokaribia uchaguzi wa 1995. Alipoenguliwa akajiunga CHADEMA. Hivyo, kuanzia August 2005, Dr. Slaa si tu kwamba alikuwa ni mwanachama bali alikuwa mgombea ubunge kwa ticket ta CHADEMA.

Kama Zitto na Mbowe walikuwa wanachama wa kwanza wa CHADEMA ile August 1992 wakati mwenzao Dr. Slaa kaingia August 2005 basi tofauti yao na mwenzao Dr. Slaa ni miaka mitatu tu.

Kwa maana hiyo Zitto ana miaka 20 ndani ya CHADEMA wakti Dr. Slaa ana miaka 17. Sasa, tofauti gani hii ya kupigizana kelele zote hizi kama tunatumia kichwa kwa kutoa tongotongo!
 
Munge akuzidishie Akili, Afya na Mali, AS TANZANIAN WHO LOVES HIS MOTHERLAND, I VOTE FOR '' UWEZO, UADILIFU NA UZALENDO. NA SIFA ZOTE HIZO ANAZO MDOGO WANGU ZITO, AT the same time i have respect for the Dr Slaa, lakini kakayangu Dr ana jazba nyingi na he carries lots of revengeful grudge, he is not a presidential material, he wil make a very good Minister any where.
Hapo ktk red are you sure wat you talking? Dr Slaa na Zitto nani mwenye jazba nyingi? rejea mwaka 2010 wakati Zitto alivyokiuka maamuzi halali ya chama chake kususia hotoba ya raisi JK bungeni, yeye akuingia bungeni tena kana kwamba haitoshi kesho yake akafanya press conference hakaweka wazi kupingana kupingana na maamuzi ya chama chake.
 
nadhani dr. slaa bado anakubalika kuliko bwana Zito (^-_-^) nyepesi
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

Zito si ndio timu moja na shibuda eeH!! Basi Zito ni bora kuliko Kadinali oooh sore Kuliko Padri Dokta Wilbrod Slaa. Hivi kweli Mbowe atauchuna tu nafasi hii ya maujiko? Si na yeye atataka kugombea huyu?
 
Zito anafikiri atashinda Uraisi bila kujenga mitandao ya Chama Nchi zima Slaa anafikiri kukijenga kwanza chama ili kuleta ushindi wa kishindo 2015
 
Pro-ccm wote lazima wamchague zitto kwani wana jua ndio njia rahisi na zitto kwa uvivu wa kufikiri ana dhani ana kubalika kumbe wana mg'ong'a. Ukiona wana ccm wana mkubali mpinzani wao jaribu kumchunguza na wameshajua weakness zake.

Leo zitto wana ccm hawa muoni kama ni mpinzani wao tena kwani hana makali tena wamesha mnyang'anya kisu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom