Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

Dr. Wilbroad Slaa
reasons:
1. Umri wake unakidhi mahitaji ya kikatiba; he will be 69 then; Zitto 37 or so? I stand to be corrected. well below the constitutional requirement of 40years of age.
2. Upevu wa kisiasa
3. A proven track record ya utumishi wa Umma.
4. Performance yake 2010 ilikuwa ya nguvu. alibomoa kebehi ya CCM ya "ushindi wa kishindo"
5. The man has no price; hababaiki, hatikisiki, hanunuliki, hadanganyiki, hazuzuliki; itoshe tu kusema; Dr. ana Nsimamo (chinga speak).
6. He scares the shit out of CCM; I could go on and on and on!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm

Malizia
5,Hana sifa kwa sababu hatoki kaskazini,
6,Hana sifa kwa sababu hatoki kwenye dini yetu,hahahha hata mfanye nini udini unawatesa sana nyinyi na huo ukanda'
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.

Mkuu sasa hapo nani mdini? Unajidharaulisha yaani hata siku moja huwezi kujenga hoja bila kuleta udini.
 
utoto ni kitu kibaya.
Kwanini mnapandikiza udini kwenye siasa?

Mzee Mtei: waislam wamezidi kwenye tume ya kuratibu maoni ya katiba mpya,

Mchungaji msigwa: kwanini serikali ya zanzibar inazuia watu wasile mchana?

Una swali jengine?
 
Munge akuzidishie Akili, Afya na Mali, AS TANZANIAN WHO LOVES HIS MOTHERLAND, I VOTE FOR '' UWEZO, UADILIFU NA UZALENDO. NA SIFA ZOTE HIZO ANAZO MDOGO WANGU ZITO, AT the same time i have respect for the Dr Slaa, lakini kakayangu Dr ana jazba nyingi na he carries lots of revengeful grudge, he is not a presidential material, he wil make a very good Minister any where.
 
CCM watafurahi zitto akigombea Uraisi. Ila hawatafurahi Slaa akigombea. Kwavile mimi nataka CCM a.k.a MAGAMBA wasifurahi, nampa 100% Slaa kugombea uraisi.
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Tunafahamu hujuma zako,muda muafaka ukifika tutampata mgombea aliye chaguo la wengi kwa mujibu wa chama chetu.
 
pesa zake alizi zi save, je unajua bei ya second HAMER au Vogue, Hammer is the cheapest cars now its a GUZZLER Thats if you wil know the meaning.
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

Huwezi kumpambanisha dr silaa ambae hajatangaza nia ya kugombea urais na zitto.labda uwapambanishe zitto na shibuda ambao wametangaza nia.
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.

Kama tungekuwa tunachagua 'vichwa' kuwa maRais...basi 'Ruksa' na 'Dhaifu' walishandaje kwa zaidi ya 80%?
 
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm

1. Hajatimiza umri wa kugombea kwani atakua na miaka 39 daima? Angalia na mbele kijana.
2. Hakuna asiye na uchu wa madaraka ila wengi ni wanafiki wanaojitahidi kuficha ukweli wa roho zao. Bora Zitto alojisemea ukweli.
3. Jitahidi kuwaa objective kidogo utaona ni kwa kiasi gani Zitto ana busara za kutosha.
4. Sasa anayetumiwa ni nani? Zitto ambaye huna uthibitisho ama wewe unayemchafua naibu katibu mkuu wangu?.
Ama kweli vichwa vingine kazi yake ni kufugia nywele tu.
 
Mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii

tuacheni dharau kwa rais wetu[/QUOTE
Mzee mpaka hapo tuko wote 100%
 
Malizia
5,Hana sifa kwa sababu hatoki kaskazini,
6,Hana sifa kwa sababu hatoki kwenye dini yetu,hahahha hata mfanye nini udini unawatesa sana nyinyi na huo ukanda'
Aliye tangaza kuwa zanzibar ni nchi ya kiislam ni cdm? unafiki unawamaliza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom