Ivuga kama marekani hahusiki iweje 'Revolution' ishike kasi baada ya Mama Clinton kusema uchaguzi haukuwa fair?
Je, marekani walikuwa na waangalizi wa uchaguzi huko?
Mbona tamko la marekani lilikuja haraka kuliko lile Ulaya?
America and western Europe fear for Putin, thats the fact!
hawawezi kutia pua huko UrusiNATO na US si wapeleke drones zao kwenda kulinda wananchi.
ci angemuacha tu medvdev
........ mmmmmhhhhhhh