inaonekana propaganda za marekanii zimefanikiwa sana hapo urusi eeehh.
sio propaganda za wamarekani,..... Hao ni wakomunisti wanaitaka nchi yao.
Acha ujinga wako wewe, unaijua Russia? wanauwa wapinzani kama nini, na multination nyingi zimekimbia russia kwa sababu ya rushwa, kwa ufupi Russia imeoza, ni kama congo.inaonekana propaganda za marekanii zimefanikiwa sana hapo Urusi eeehh.
Acha ujinga wako wewe, unaijua Russia? wanauwa wapinzani kama nini, na multination nyingi zimekimbia russia kwa sababu ya rushwa, kwa ufupi Russia imeoza, ni kama congo.
mbona unalalamikia usa,unashindwa kuona ubovu wa siasa za urusiinaonekana propaganda za marekanii zimefanikiwa sana hapo Urusi eeehh.
UPDATES LEO TR 11/12/2011 MAMBO YA MIDDLE EAST YANATOKEA TENA HUKO URUSI: waandamanaji wameipa serikali ya urusi siku chache mpaka tarehe 24/12 iwe imefanya mambo yafuatayo 1.Putin a resign 2.uchaguzi ufanyike upya 3.wafungwa wa kisiasa waachiwe wote bila masharti 4.wezi wa kura waadhibiwe... 5.Vyama vyote vya kisiasa vifutwe vifanyiwe registration upya wasipotekeleza haaya ndani ya wiki mbili wanaitisha maandamano mengine ambayo yatahudhuriwa na watu zaidi ya 150,000. hiyo hapo chini ni nembo yao inamaanisha revolution.. View attachment 43143 more news to come ..source ni JF
Kweli naona Marekani anafanya kazi..lakini hapo patakuwa patamu sana,sidhani kama Putin atakubali kunyanyua mikono...
WARUSI hawataki PUTIN arudi madarakani, wanataka nchi yao---majibu ni njama za WEST, nauliza kwanini viongozi wanaofanya madudu wananchi wakiriact wanasema ni njama za USA au WEST. Mbona Hugo Chavez alivyochachamaa hawakusema ni njama za USA/WEST. tatizo nini?aomba kujuzwaKweli naona Marekani anafanya kazi..lakini hapo patakuwa patamu sana,sidhani kama Putin atakubali kunyanyua mikono...
swallow this: marekani hahusiki hapa..makomunist ndio wanataka nchi yao..na chama chao kilishika namba mbili kwenye uchaguzi wa wabunge uliochakachuliwa wa tarehe 4 mwezi wa 12