Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Kwanza fahamu kwamba kwa mwanamke the less she does the less she wants, tofauti na mwanaume ambae the less he does the more he needs.
Pili mke wako anaweza kua amepoteza interest sababu kazi za mtoto, changa na kazi za nyumbani, zimemzinga. hivo hana muda kabisa za kufikiria maswala ya kukupenda.
Jaribu hivi:
  • tafuta ndugu yake atake kaa hapo home wawe wanasaidiana. unaweza kuleta housegirl ila anahitaji mtu wakuongea nae mambo yake.
  • wakati haupo hakikisha anajua unamkumbuka na unamtamani, aanze kufahamu kwamba ukija utahitaji mamboz
  • ukiwa nae usifocuss sana kwenye ku-do. sex inaanza kwenye maongezi na alama mbali mbali mchana kutwa na jioni, usiku mnakamilisha tu (na manaweza kamilisha hata mchana, it doesn't matter)
  • Usijiulize atakusaidiaje kumaliza shida zako, jiulize anashida gani na utamsaidiaje kuzimaliza, alafu ndio ufikirie shida zako hizo
  • ongea nae kuhusu issue ya "K" yake kubadilika. inaweza kua sababu ya uzazi, ila faham hawezi kuanza kubadilika kama hajui anatatizo hilo. akijua atatafuta ushahuri kwa shangazi na ataambiwa cha kufanya.
Good luck

There you are..
Am facing the same issue and i was about kuomba ushauri hapa, sio tu kwamba nakua sina hamu ya kufanya mapenzi ila hata ile hali ya upendo imepungua. Distance relationship/marriage ni mbaya mno.
Mtoa mada badala ya kumfikiria mkeo kua anaku-cheat, tafuta namna ya kumpenda na kumsaidia, umbali unaweza kua umemwadhiri sana na hakutegemea kama ataishi peke yake kwa mda kwa sababu ya kutenganishwa na kazi au kitu kingine...
 
Mimi ni msichana nina umri wa miaka 30, ninampenzi wangu ambaye nampenda sana ila nina tatizo wakati wa kufanya mapenzi huwa sina hamu ya mapenzi na tumejaribu njia za kawaida kama kutomasana kabla ya kufanya mapenzi lakini bado sina hamu ya mapenzi.
Naomba msaada kama kuna dawa za kuweza kuniongezea hamu ya mapenzi nipeni jina nikanunue ili na mimi nifaidi kama mwenzangu
 
Kabla ya wewe kuamini kuwa unaumwa kuna mambo mengi wapaswa kuyafanya au pia mwenzio kukufanyia!

1. anakuwa mtulivu kiasi gani kabla ya tendo
2. Anapitia hatua gani kukuandaa
3. je ni msafi?
4. mazingira mnayokuwepo ni ya aina gani?
5. Unajisikia usalama na hali iliyowazunguka ama mawazo yako yanakuwa na hofu ya kitu fulani?

Kuna mengi wengine watakusaidia
 
Mimi ni msichana nina umri wa miaka 30, ninampenzi wangu ambaye nampenda sana ila nina tatizo wakati wa kufanya mapenzi huwa sina hamu ya mapenzi na tumejaribu njia za kawaida kama kutomasana kabla ya kufanya mapenzi lakini bado sina hamu ya mapenzi.
Naomba msaada kama kuna dawa za kuweza kuniongezea hamu ya mapenzi nipeni jina nikanunue ili na mimi nifaidi kama mwenzangu

We kwanza ni kabila gani? Isije ikawa ni moja ya makabila ambayo TAMWA wanahangaikia kuyaokoa na kukoseshwa raha ya mapenzi. Fuata ule ushauri wa bujibuji, uwe unamwagia maji ya moto kabla hamjaanza huenda ikaamka na kuchangamka.
 
inawezekana kabisa ukawa hujui kutofautisha jinsi unavyojisikia unapo penzika na masimulizi ya kusikia kwa wengine kuhusu raha ya penzi. Je, umekwisha wahi kuwa na mwanaume mwingine kabla ya mpenzi wako wa sasa? hilo linaweza kukusaidia kupima tofauti iliyopo.

Labda uwe muwazi pia ni raha gani unaikosa, ni kufika kilele (orgasm) au kujisikia tu kuwa unapendwa kama mwanamke?

Mara nyingi fikra zako ndio msingi mkubwa wa kufurahia kile unachofanyiwa na mwenzio..ukiwa huoni lolote basi labda mwenyewe au mwenzio ana matatizo ya kutomudu huduma ya penzi. kma utahitaji ushauri zaidi ni PM au hamisha hii mada iende kule jukwaa la watu wazima tutaongea kirefu.
 
Historia yako ya kimapenzi pia inahusika sana, waweza kuathiriwa na maisha yako ya kabla ya kukutana na huyo uliyenaye.
 
We kwanza ni kabila gani? Isije ikawa ni moja ya makabila ambayo TAMWA wanahangaikia kuyaokoa na kukoseshwa raha ya mapenzi. Fuata ule ushauri wa bujibuji, uwe unamwagia maji ya moto kabla hamjaanza huenda ikaamka na kuchangamka.

Teh teh! We kwelı nyoko a a a a ah samahanı we kwelı ndyoko!
Yaanı unataka kı2 ımwagıwe majı ya moto ılı ıumuke ka andaz!!!!!!!!
Saat ıle kıtu napenda nyensıe sı ıtaungua chalaangu!
Hıı kı2 ınahtaj maufundı tu atı namwomba mdada anıPM nımpe ramanı aje kwangu ntampa rıheso!
Ujue nyıe hamjuı tu, ılı mamaa aandalıwe ınatakıwa apgwe Kıjungumnazı alafu unamalızıa na Inzımchokozı kısha unasuuza na style ya kıtasa etı!
Ooop! Thamahanı nshasahau kama hapa nıpo jamvını na thıkuhsı hata toto dogodogo znafamıa pande hız!!!
Mwenye kutaka maufundı anıPM!
 
Mpenzi wangu alikuwa na hilo tatizo la kutosiki hamu na wakati wa kudo anasikia maumivu au kesho yake ndo anasikia maumivu sehemu nyeti. Baada ya mm kuongea na doctor aliniambia ni fangasi na alinipatia doze ya wiki 2 tu! Uwezi amini mtoto anavyo nisumbua kila wakati ana hamu ya kudo. Dali za fangasi ni,
1. Kukosa hamu ya kufanya mapenzi.
2. Mwasho sehemu za siri!
3. Kutokwa na ute mweupe wenye harufu mbaya.
4. Kusikia maumivi wakati wa kudo au baada!
 
Kama umekeketwa sahau kabisa kuja kupata hamu ya tendo la ndoa maana kianzisha utamu kishatolewa andika maumivu tu dada,ila kuzaa utazaa tu.
 
kwanza,hujatueleza,wakati ukifanya mapenzi,je unamaliza hamu yako!!! kwa lugha ya mtaani unapiga bao!!kama hupigi bao basi unatatizo,au partner wako anakuwa,na haraka katika tendo la penzi,jaribu kuwa mtulivu au mtulize kwenye kufanya mapenzi,!!!
 
Wana jamvi, naombeni msaada wenu wa hali na mali.

Mwenzangu amepoteza kabisa hamu ya sex, yaani hapo zamani tulikuwa tukisex vizuri sana, namuandaa vizuri na mpaka naingia anakuwa yupo wet vizuri kabisa. Lakini ghafla akapoteza hamu, tumekaa mwaka bila ku-do.

Nimeshindwa kuvumilia nimeanza kumsumbua mpaka tu-do kama zamani. Lakini kila nikimuandaa mwenzangu hasisimki kabisaaa, mpaka ananiambia nijaribu kuingia hivyo hivyo inashindikana maana misuli ya uke inakuwa haijafunguka kabisa, hivyo nikilazimisha anaumia sana, tunamua kuacha. Tumejaribu juzi, jana na leo imeshindikana kabisa.

Tatizo linaweza kuwa nini jamani? Namuuliza mwenyewe anadai hakuna tatizo. Msaada please.
 
Je ana tatizo lolote kazini kwake, au kama mfanyabiashara, biashara inakwenda vizuri?
Mawasialiano yake na familia yako vipi?
 
Je ana tatizo lolote kazini kwake, au kama mfanyabiashara, biashara inakwenda vizuri?
Mawasialiano yake na familia yako vipi?

vipi kwani ana umri gani? maana umri unaweza kuchangia. lakini tatizo huwa linakuwa masuala ya hormone hazija balance aka menopousal symptoms
 
Je ana tatizo lolote kazini kwake, au kama mfanyabiashara, biashara inakwenda vizuri?
Mawasialiano yake na familia yako vipi?

Hana matatizo yote hayo unayosema mkuu. Labda kama ananificha, ila nimejaribu kumbembeleza sana aniambie tatizo nini lakini anadai hakuna tatizo. Ila mimi mwenyewe naona kuna tatizo, kwani zamani foreplay alikuwa anasisimka kabisa mpaka vibele vinamtoka kwenye ngozi yake, na pia nilikuwa namnyonya sana clitoris na maeneo ya pembeni ya vagina, lakini siku hizi hataki kabisa kunyonywa eti anadai gyno wake kamshauri hiyo sio nzuri backeria wa mdomoni wanaweza wakamletea magongwa sehemu za siri.
 
vipi kwani ana umri gani? maana umri unaweza kuchangia. lakini tatizo huwa linakuwa masuala ya hormone hazija balance aka menopousal symptoms

Umri miaka 28. Nitajuaje sasa kama hormone hazijabalance? Kuna uwezekano wa kwenda hospital na kupima kipimo cha Hormone?
 
Kama alie poteza n dume bas jarbu kubadlsha uyo mwanamke uone changez
 
Back
Top Bottom