Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Mkuu Kingoligarchy, kuna uwezekano ukauza T-Bond uliyonunua kupitia pesa ulizokopa saccos/uliyokopea bank kabla ya kumaliza marejesho huko saccos/ huko bank? Kama inawezekana ni kivip?

Na je, retail, kikundi, kampuni naweza kununua t-bond bila kupitia kwa broker?
Msaada wako pls.
unapokopa mkopo inadepend security umeweka nini, kama security ilikuwa ni Tbond yako nikimaanisha umeipledge, huwezi kuiuza mpaka mkopo ukamilike otherwise uongee nao kwamba unataka kuliquidate mkopo wako wote kwa kuuza .

Pili kuna akaunti mbalimbali, Vikundi , retail @individuals, hata kampuni inaweza kununua Tbond.

Karibu PM.
 
Miaka 10 utakuwepo?
Tafuta namna kuwa huru wakati una hela tumia utakavyo huku ukijaza panapopungua.
Mambo ya kuweka mil 200 ili upate mil 2 baada ya miaka 10 ni ujuha wa karne
Unaweza ukasema ni ujuha wa Karne lakini mutual ndio zinaendesha makampuni makubwa kwenye nchi chunguza umiliki wa vanguard Corp,fidelity,street Corp,blackrock

Hizo mutual funds ndio zinamiliki companies kubwa karibia zote Kama Google,Oracle,microsoft,apple,amazon,jp Morgan,meta(facebook),tesla,Netflix Yani almost company zote kubwa Hawa watu wa mutual funds Wana shares zao Tena nyinyi.

Bongo tu ndio tuko nyuma Sana kwenye mutual funds.
 
Factos
 
Unaweza ku-share analysis kati ya mapato ya nyumba za kupangisha na mapata yatokanayo na UTT?
Hii mifuko ya utt mara nyingi faida yake ina vary, inategemea na kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa.. Trust me..
Hii mifuko wakati mwingine huwa ni kama umeweka hisa tuu.(tatizo hawasemi ukweli,, wanajaribu kuiita majina mazuri mazuri ili uvutiwe uweke ela yako humo). Unapoweka hisa,, basi ujue kuna kupata na kukosa kwa gawiwo
 
Kwann usikomae na ishu ilio kupa hiyo 200m au umeokota sehem au umepiga dili endelea na hilo
 
Hii mifuko ya utt mara nyingi faida yake ina vary, inategemea na kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa.. Trust me..
Hii mifuko wakati mwingine huwa ni kama umeweka hisa tuu.(tatizo hawasemi ukweli,, wanajaribu kuiita majina mazuri mazuri ili uvutiwe uweke ela yako humo). Unapoweka hisa,, basi ujue kuna kupata na kukosa kwa gawiwo
Vitu kama hujui uwe unauliza ng'ombe wewe
 
Miaka 10 utakuwepo?
Tafuta namna kuwa huru wakati una hela tumia utakavyo huku ukijaza panapopungua.
Mambo ya kuweka mil 200 ili upate mil 2 baada ya miaka 10 ni ujuha wa karne
Nyie ndo mnaopewa hizo hela zinapotea zote.

Unadhani biashara ni makalio kula mtu anayo?
 
Invest pesa yako katka tangible things. Hakuna watu waliotajirika kupitia hiyo mifuko.
Usikariri maisha mkuu. We're highly moving from analogy to digital mdogo wangu wewe remain kuwa conservatism.

Jeff Benzos na jack ma wanauza bidhaa nyingi za viwandani Ila hawamiliki hata kiwanda ama biashara,how about Uber wanamiliki tax ngapi kwani. Kumbuka jack na Benzos Ni matajiri kuliko hao wenye hao wenye tangible assets.

Warren buffet na baadhi ya ma hedge funds pia mutual funds managers ana owners wanamiliki biashara kubwa mno Ila just sio kwa tangible kwa static mind yako Ila wanamiliki intagible business.

Unajua Warren buffet anamiliki biashara za kampuni kubwa like coca cola kiasi gani na Hana hiyo biashara. Binafsi ndoto yangu ama napenda biashara mno sema sio haya ma analogy jamani unaanza kubembelezana Mara nikopeshe Mara sijui Nini. Yaani tuna move from that era to be era.

Kama hujui Ni wakala gani unaweza ukanunulia hisa za kampuni za USA ,Europe and Asia Kuna brokers zipo reputable ulzia uambiwe na gugo.

Uzuri wa hizi wa biashara za ivyo za kumiliki biashara bila ya kuwa na physical location lazima usome Mana Ni taaluma Kama taaluma zingine like surgeon.

Otherwise wape ambao Wana maarifa hela zako wakununulie biashara ama wao wafanye wakupe gawio fulani.

Ndio Kama hao hedge funds and mutual funds wapo kwa ajili iyo.

Unaruhusiwa kupinga na kutukana Mana hapa nipo na against na your self image aka ego or your personality eg thinking, beliefs, opinions , predictions and perception na ndio Mana huwa kunakuwaga na quarrels na smt mtu anapata emotions pains anatoa matusi.
 
Most millionaires invest in the stock market. But they don't teach you how to research companies in school. Let's unlock the secrets of millionaires together.

They own intagible business.
Jeff Benzos and Jack ma wanauza bidhaa kwa watu Ila hawana store inventory hata Moja. Yaani maisha haya Ni akili yako tu jamani. Na Kuna wengine wanatafuta wateja kwa wenye tax Ila hawana hata tax moja. Kuna Hawa anb Hawa kucheki nyumba za kukodisha ama ku host mgeni temporary kuliko kufikia hotelini na hii itakuwa mno.

Netflix movies zimejaa Ila hawajawahi igiza hata movie moja
 
Invest pesa yako katka tangible things. Hakuna watu waliotajirika kupitia hiyo mifuko. Yaani umpe mtu 200 M aizungushe mwaka mzima halafu aje akupe 20-18 M ?? Huu ni ukichaa wa kiwango cha SGR.

Nunua residential property ikarabati halafu uza kwa thamani kubwa, nunua viwanja halafu uza kwa thamani kubwa ...unaweza hata ukavitumia kukopea mikopo ya pesa nyingi ukafanya uwekezaji mkubwa.
Mkuu vyote ni muhimu sana, kufix Lamson bank, na kudeal na hayo uliyoyasema!
 
If we all wanted to be rich we could just quit our jobs tuingie wote kwenye biashara na 200m hizo tupambanie kombe ila muda mwingine ni kuchagua unaona una fit wapi!! Wengine biashara hatuzi wezi wacha tuendelee na kazi huku tukipata 13% ya utt amis so long us tunaweza kuishi kwa kiwango tunacho weza afford basi inatosha, tugawane kombe tu.
 
Back
Top Bottom