Kupatwa kwa wachambuzi

Kommando muuza madafu

JF-Expert Member
Aug 30, 2022
2,698
5,915
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.

Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi

"Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona mimi Chinja Chinja?
Mbona mimi fresh tu kwenu?

Nasubiria Simu zenu nifanye Teuzi ndugu zangu, msiniogope bhana, na posho ya safari pia nnazo mimi.

So far ukiacha @oscaroscarjr wa Wasafi na @jr_farhanjr wa Clouds ,Pamoja na @dominicksalamba wa azamtvtz bado sijapokea Simu nyingine, ningetamani na Vituo vingine nao waende.

Piga now Chambuzi, Piga kwa Bugati akupe Exposure ya kuruka na Mwewe, halaf uzuri wa Algeria ina Boda na France, Yaani ukifika kule kama umefika Ulaya tu.

Nb:: Nipo nimekaa pale na Panga langu nasubiria kutahiri without Ganzi, kuku wahed."

Ameambatanisha na picha ifuatayo
 
Attachments

  • FB_IMG_1685463661622.jpg
    FB_IMG_1685463661622.jpg
    51.3 KB · Views: 2

Wachambuzi hao watakuwa sehemu ya first eleven itakayo fanya mageuzi ya ki-mpira?
 
Back
Top Bottom