Kupatwa kwa CCM: Anzeni kuukubali ukweli mapema ili kuepuka tatizo la presha

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,947
3,820
Wajumbe mnasemaje? Mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni kweli kabisa dalili zipo wazi kuwa mwaka huu ni kupatwa kwa CCM.

Lissu tayari ameshashinda na kwa ujumla wananchi walio wengi wameshaishinda CCM.

Sasa, nasema sasa ni kujipanga kulinda ushindi, kura hata moja isipotee kusikojulikana.

CCM imetufanyia mengi sana mazuri lakini hakuna kisicho kuwa na mwisho, kuishi milele hakupo wacheni kukufuru kuwa mtatawala milele.

Anzeni kuukubali ukweli na mapema ili kuepuka tatizo la presha.
 
Back
Top Bottom