Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

vigezo vyote ninavyo ispokuwa nataka kuongeza wewe uwe wa pili. kama uko tayareee ni-pm tulianzishe
 
MBONA WANAOTAFUTA UCHUMBA HUMU ACCOUNT ZAO ZOTE ZINAKUWAGA MPYAA! wazoefu vipi?
 
Yaani umenikosha mambo mawili.....asiwe anakunywa au anakunywa kidogo ila asiwe mlevi
awe hajawahi kuoa kwa umri huu ungeiondoa kuongeza idadi.
 
Jina langu: irene
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 32 - 35
Elimu yangu: chuo
Natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa
Miaka yake: 33 - 38
Nchi atokayo: tanzania,kenya ,uganda
Nchi ninayoishi: Tanzania
Muonekano wangu: kawaida
Umbo lake: asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana wala mfupi,wala mwembamba
Kabila yake: awe kabila yoyote, mchaga au mpare watapewa kipaumbele zaidi
Dini yangu: mkristo
Dini yake: awe mkristo, mlutheran au mkatoliki
Sigara (mimi): sivuti sigara
Sigara (yeye): asiwe mvutaji wa sigara
Pombe (mimi): sinywi pombe hata kidogo
Pombe (yeye): asiwe anakunywa au awe anakunywa kidogo ilaasiwe mlevi
Oa/olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/olewa (yeye): awe hajawahi kuoa
Mtoto (mimi): sina
Mtoto (yeye): ni sawa tu ila awe na maelezo ya kuridhisha
Simu yangu: nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
E-mail yangu: irenemkapa@yahoo.com

Maelezo zaidi: napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. awe tayari kupima ukimwi

Dada una sifa za kuwa mke wa mtu.
 
wewe ni mnyamwezi?

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Kwa wale mnaolia sana kwamba Le Mutuz anapenda sana Mabebs, naomba kuwauliza eti mngependa NIPENDE NINI HASA NA MIMI NI MAMEN AFU BACHELOR? HA! HA! HA! I mean just shut up and mind your business kama vipi!! au show me unataka nipende nini? ha! ha! - LE MUTUZ
 
Biblia inasema Mwanamke mpumbavu hujenga nyumba kwa mikono yake, halafu HUIBOMOA KWA MIKONO YAKE MWENYEWE NA KUANZA KULAUMU KILA MTU LAKINI SIO YEYE MWENYEWE ALIYEIJENGA NA KUIBOMOA!!
- NDOA NI MWANAMKE AKIITAKA ITAKUWEPO ASIPOITAKA HAITAKUWEPO, NA SIKU ZOTE WAPO WALE THE MISERABLE AMBAO KAZI YAO NI KUSUBIRI UIBOMOE NDOA YAKO ILI UJIUNGE NAO KWENYE MISERY & COMPANY: WATAKUPAMBA KWAMBA WEWE NI SHUJAA NA MANENO MENGI YA MBURULAS KUMBE UKWELI NI KWAMBA WANA FURAHA SANA KWAMBA NA WEWE SASA NI MMOJAWAO YAANI THE NEW MBURULA IN DA HOUSE, MBEBS WA MIAKA 45 THINK TENA UNAOLEWA NA NANI? ULIYATAKA MWENYE PUNGUZA KELELE ZINACHOSHA SANA!! -
 
Jina langu: irene
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 32 - 35
Elimu yangu: chuo
Natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa
Miaka yake: 33 - 38
Nchi atokayo: tanzania,kenya ,uganda
Nchi ninayoishi: Tanzania
Muonekano wangu: kawaida
Umbo lake: asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana wala mfupi,wala mwembamba
Kabila yake: awe kabila yoyote, mchaga au mpare watapewa kipaumbele zaidi
Dini yangu: mkristo
Dini yake: awe mkristo, mlutheran au mkatoliki
Sigara (mimi): sivuti sigara
Sigara (yeye): asiwe mvutaji wa sigara
Pombe (mimi): sinywi pombe hata kidogo
Pombe (yeye): asiwe anakunywa au awe anakunywa kidogo ilaasiwe mlevi
Oa/olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/olewa (yeye): awe hajawahi kuoa
Mtoto (mimi): sina
Mtoto (yeye): ni sawa tu ila awe na maelezo ya kuridhisha
Simu yangu: nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
E-mail yangu: irenemkapa@yahoo.com

Maelezo zaidi: napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. awe tayari kupima ukimwi
da kigezo kimoja kimenitoa nje
 
Ongeza maombi! Kwani huyo unayemtaka Dunia ya sasa ni Yegoo tu!!
 
Last edited by a moderator:
nina kitambi ila sio mnene nitakufaa? urf 5.9 nina 38 bahati mbaya sina nyumba napangisha

nina malengo mengi zaidi ya kuwa na nyumba na kadha wa kadhaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom