naomba msaada jinsi ya kutoa monthly report on efd mashine ninayotumia ni custom za retailers zinazosambazwa na bmtl,
Bahati mbaya supplier hajatoa user manual wala ushirikiano wa kutosha katika kupata hiyo monthly report ambayo itanisaidia kureduce painstaking work of preparing returns monthly kwa kuangalia report on daily basis.
The daily reports zinaweza saidia kucheck compliance . Naomba msaada