Kupata mke wa kuoa hapa jamii imekuwa ishu ngumu sana kwangu

Una bahati hujakutana na wa kukuambia wewe ni mzee. Manake hapo hakuna reverse time clock.
Sasa ikawaje ukaanza kutafuta mke ukiwa 37? Manake na majumba na magari huna, tungesema ulikuwa busy unakusanya mali. Mkeo akijua unajinadi humu huna mke, patachimbwa.
 
Mbona unakata tamaa mapema, hebu rudisha lile tangozo nione jinsi ulivyojinadi, naweza kukuunganisha na mtu mmoja nae anataka mtu mzima mwenzie

Kupata mke wa kuoa hapa jamii imekuwa kasheshe kubwa sana kwangu mimi kila mwanamke ninaekutana nae anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,nina miaka 42,tangu nikiwa na miaka 37 nimeanza sakata ili la kutafuta mke lkn kila mwanamke ninaefanya nae mazungumzo ana malengo yake binafsi ya kuishi duniani na sio malengo ya kuitaji mume,wote wanataka mtu mwenye mambo mazuri,nawafahamisha wanajamii kama kuwaaga,niliingia hapa kutafuta mke tu lkn imekuwa kasheshe kwangu,wanawake wengi humu wapo kwa malengo binafsi na wengine wengi just a joking,kama kuna ushauri poa nasubiri PM au email yangu ni fastafastah@ovi.com
 
Una bahati hujakutana na wa kukuambia wewe ni mzee. Manake hapo hakuna reverse time clock.
Sasa ikawaje ukaanza kutafuta mke ukiwa 37? Manake na majumba na magari huna, tungesema ulikuwa busy unakusanya mali. Mkeo akijua unajinadi humu huna mke, patachimbwa.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Kupata mke wa kuoa hapa jamii imekuwa kasheshe kubwa sana kwangu mimi kila mwanamke ninaekutana nae anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,nina miaka 42,tangu nikiwa na miaka 37 nimeanza sakata ili la kutafuta mke lkn kila mwanamke ninaefanya nae mazungumzo ana malengo yake binafsi ya kuishi duniani na sio malengo ya kuitaji mume,wote wanataka mtu mwenye mambo mazuri,nawafahamisha wanajamii kama kuwaaga,niliingia hapa kutafuta mke tu lkn imekuwa kasheshe kwangu,wanawake wengi humu wapo kwa malengo binafsi na wengine wengi just a joking,kama kuna ushauri poa nasubiri PM au email yangu ni fastafastah@ovi.com

pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom