Kuongezeka kwa ving'ora, Wapambe na misafara mirefu kunaashiria nini?

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,087
5,079
Ving'ora vimekuwa vingi barabarani vikihusisha viongozi waliopo madarakani na wasiokuwepo madarakani.

Misafara imekuwa mirefu mno kwa wateule wa Rais kuanzia Mkuu wa Wilaya mpaka juu huko. Wapambe wamekuwa ni kwa kila mtu, OCD akisimama kwenye press nyuma kuna ADC, Mkuu wa mkoa akisimama nyuma kuna mpambe.

Tunajenga taifa la namna gani? Ni tamaa ya kila mtu kuwa kama Rais?
Too much!
 
Ving'ora vimekuwa vingi barabarani vikihusisha viongozi waliopo madarakani na wasiokuwepo madarakani. Misafara imekuwa mikubwa mno kwa wateule wa Rais kuanzia mkuu wa wilaya mpaka juu huko. Wapambe wamekuwa ni kwa kila mtu, OCD akisimama kwenye press nyuma kuna ADC, Mkuu wa mkoa akisimama nyuma kuna mpambe.

Tunajenga taifa la namna gani? Ni tamaa ya kila mtu kuwa kama Rais?
Too much!
Ni ujinga na matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Ving'ora vimekuwa vingi barabarani vikihusisha viongozi waliopo madarakani na wasiokuwepo madarakani.

Misafara imekuwa mirefu mno kwa wateule wa Rais kuanzia Mkuu wa Wilaya mpaka juu huko. Wapambe wamekuwa ni kwa kila mtu, OCD akisimama kwenye press nyuma kuna ADC, Mkuu wa mkoa akisimama nyuma kuna mpambe.

Tunajenga taifa la namna gani? Ni tamaa ya kila mtu kuwa kama Rais?
Too much!
Viongozi wote wa CCM wanao maAdc toka Uvccm ambao wanavyo vyeo vya kijeshi!
 
Wameona aliyekalia kiti kikuu mwepesi tu, kwahiyo kila mmoja anaona ana vigezo vya kiti hiko, kama Bibi cheka kakalia kiti Cha enzi,Mimi ni Nani nisikimudu?🤣🤣🤣
 
Ving'ora vimekuwa vingi barabarani vikihusisha viongozi waliopo madarakani na wasiokuwepo madarakani.

Misafara imekuwa mirefu mno kwa wateule wa Rais kuanzia Mkuu wa Wilaya mpaka juu huko. Wapambe wamekuwa ni kwa kila mtu, OCD akisimama kwenye press nyuma kuna ADC, Mkuu wa mkoa akisimama nyuma kuna mpambe.

Tunajenga taifa la namna gani? Ni tamaa ya kila mtu kuwa kama Rais?
Too much!
OCD hapaswi kuwa na bodyguard, labda runner to kwa vitu vidogo vidogo
 
Ving'ora vimekuwa vingi barabarani vikihusisha viongozi waliopo madarakani na wasiokuwepo madarakani.

Misafara imekuwa mirefu mno kwa wateule wa Rais kuanzia Mkuu wa Wilaya mpaka juu huko. Wapambe wamekuwa ni kwa kila mtu, OCD akisimama kwenye press nyuma kuna ADC, Mkuu wa mkoa akisimama nyuma kuna mpambe.

Tunajenga taifa la namna gani? Ni tamaa ya kila mtu kuwa kama Rais?
Too much!
kamwulize mamako
 
Ni ashiria ya nchi ya kidicteta
 
Back
Top Bottom