Kuondoa password wakati wa ku log on

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
1. Jamani naomba msaada kufungua kompyuta yangu inayonidai password wakati wa kufungua. Kompyuta haikuwa na password.
 
Ukimaanisha haujui hiyo password na hauwezi ku-log in unless kama una guest account?Perhaps ulimuachia mtu aka-create account au yaweza kuwa ni issue na virus infection...
 
Restart computer wakati inawaka press F8 then select boot in Safe mode ikishawaka ingia kama Administrator, then click Start>control Panel>useraccount click account yako, click remove my password
 
Ukimaanisha haujui hiyo password na hauwezi ku-log in unless kama una guest account?Perhaps ulimuachia mtu aka-create account au yaweza kuwa ni issue na virus infection...

mkuu ukiiwasha inakuja dilogue box ya user name na password. Ni xp pro custom, kama ni virus nifanyeje?
 
nimefanya hivyo the same results occured:
windows xp pro custom by search engine, username and password required

ni kitu ambacho hakiwezekani kwamba umefuate vizuri maelezo ya POST NO.3 na haikufanya kazi labda hujui username yako, ulifanikiwa kuingia na account ya admin kwa Safe mode?
 
dialogue ya admin haijitokezi hata kwa kufanya hivyo, the only appearance is that of username!
 
Back
Top Bottom