Kuna mada ililetwa jamvin eti wanaume wa JF hatuna hela maamaeeHii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu.
Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
Jikite kwenye mada weweeNaomba hii imeseji iwe maalumu tu kwa females
Tulia weweeeNi aibu aibu sana...
Yaani hiyo kitu mi inanishinda aiseeee
Daaah aiseeee 🙌🙌🙌Eti mwanaume mzima anaomba hela ya king'amuzi kwa mwanamke kweli
Wanaume hebu jiheshimuni na tafuteni pesa
Sex mpewe bure na hela muombe
albu sanaHakuna kitu inakata stimu kama una shida ya pesa ujielezeee kwa mtu weee halafu na yeye aanze kukulezea matatizo yake na kumalizia na jibu sina kitu mwaangu na unajua anayo ila kakukazia....
Ukitaka kumpiga mtu kirungu ana anado uipige vizuri.
😂😂😂😂 Nishakupa onyo kuwa mimi nina video yako...Tulia weweee
huyo ni mwanaume wako tu sio wote tupo ivyoEti mwanaume mzima anaomba hela ya king'amuzi kwa mwanamke kweli
Wanaume hebu jiheshimuni na tafuteni pesa
Sex mpewe bure na hela muombe
OK,nasema hivi kununa ukinyimwa hela ni usenge wa hali ya juu sanaJikite kwenye mada wewee
kuwai tokeaKwenda kutangazwa kuwa uliomba ni aibu kuu.
Ni kweli sio wote......hapa tunawasema wanaofanya hivyo waache sifa ya mwanaume kutafuta na kutoa na sio kupewa hata vitabu vya Mungu vinasemahuyo ni mwanaume wako tu sio wote tupo ivyo
kwahiyo shemeji ulimpa hela ya kisimbuziNi kweli sio wote......hapa tunawasema wanaofanya hivyo waache sifa ya mwanaume kutafuta na kutoa na sio kupewa hata vitabu vya Mungu vinasema
Mama yako samia kila siku anaenda kuomba hela na misaada wazungu anatuletea aibu tu sisi watanzania!Kwenda kutangazwa kuwa uliomba ni aibu kuu.