Kuoa bila kuchakachua.

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Napata wakati mgumu sana na suala hili.Pengine kuna ukweli kwamba ni vema kujitunza mpaka siku ya ndoa,lakini yawezekana siku ya fungate unakutana na kitu usichokitarajia mwisho wa siku yakawa ni mateso maishani.

Uwanja ni wenu!!!!!!!
 
Mungu mbele. Vinginevyo kama hakuwako kwenye kuwa-match yote 2 yana hasara zake na faida zake.
 
Napata wakati mgumu sana na suala hili.Pengine kuna ukweli kwamba ni vema kujitunza mpaka siku ya ndoa,lakini yawezekana siku ya fungate unakutana na kitu usichokitarajia mwisho wa siku yakawa ni mateso maishani.

Uwanja ni wenu!!!!!!!
Usijitunze kwa ajili huyo utayekuwa nae kama mke/mme, jitunze kwa ajili ya usafi wako wewe binafsi. Kwani unatakiwa kusimama wewe kama wewe na si kwa niaba ya fulani, ukifanya mambo kwa ajili ya watu siku zote utalia maishani kwani sisi hatufanani.
 
Kwa hali ilivyo sasa si mwanamke wala mwanaume atakayekubaLi kuingia katika ndoa bila kujua status ya mwenzake,inawezekana ukakuta

mwanamke ana matatizo ya kimaumbile kama vile sehemu mbili za siri na kwa mwanaume ukakuta jogoo hapandi mtungi a.k.a mtoto wa watu na wote

hawa wanataka heshima kwa jamii hivyo si rahisi kuruhusu jambo la kuchakachuana kabla ya ndoa kutokea maana ikigundulika itakuwa ndio basi tena.
 
lazima utest kama ipo fiti vyakutosha inabana au mlegezo ni muhimu
 
Usikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia

Nani aliye kwambia hayo??. Kama hujachagua vizuri na kujua tabia zake, kumchakachua haitasaidia zaidi ya kubambikizwa vitu visivyo kuhusu. Ninapo sikia hayo naona kichefuchefu.
 
lazima utest kama ipo fiti vyakutosha inabana au mlegezo ni muhimu

Imekuwa machine hiyo hadi utest. Usitudanganye wala kutushauri kama wewe yalisha shindikana. qwapo wanaojitunza na wala usiwa katishe tamaa.
 
Napata wakati mgumu sana na suala hili.Pengine kuna ukweli kwamba ni vema kujitunza mpaka siku ya ndoa,lakini yawezekana siku ya fungate unakutana na kitu usichokitarajia mwisho wa siku yakawa ni mateso maishani.

Uwanja ni wenu!!!!!!!

Hakuna hasara kaka, ni faida tupu. kwanini uishi na nafsi ya kujisuta maisha yako yote. Kwani huko chini mnako taka kutest ndio mtu halisi. Watu wote tunafanana na kama ni kujifunza mtajifunza wote hakuna atakaye kuwa off site.
 
Dah! Ni kumwomba Mungu tu ndio suala muhimu hapa maaana mtu akitaka kutumia akili zake kama hizo za kutest before marriage ni sawa na kujilisha upepo tu
 
mhh ngumu maana siku hizi kuna vijanaume vinaoa ili kuonyesha navyo ni wanaume,mdogo wangu alikutana nacho kimoja na kiliweka msisitizo kutocheza mechi yoyote,kufika ndani siku ya ndoa kumbe joka la kibisa,kuachika soo anaona huruma namna kijana anavyomlilia asimwaibishe
 
Si kwamba wanajifanya vidume, na kesi ya huyo mdogo wako ni sehemu ndogo sana. Bado kuna umuhimu wa watu kuheshimu miili yao. Watu wanao fanya mapenzi ni wale walio oana. Nje ya hapo ni wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom