Kuoa bila kuchakachua.

Utanunuaje nguo bila kujaribu?. Hata madukani kuna changing room ambako unatumia kujaribisha nguo kabla ya kununua. Unaweza kumwona mtoto bomba ile mbaya kumbe mashine mbovu kinoma na inatoa harufu kama panya aliyeoza. Hata gari unafanya test drive kabla hujanunua.
 
Rose kila mtu unambania jicho bibie? Halafu ubanaji wako jicho unaendana na mdomo yalaaaaaaaaaaa.....

apana si kila mtu NI WEWE PEKE YAKO NDO NAKUBANIA JICHO...just u n only nobody else anayeona mkonyezo wangu!!!!!
 
Lazima u test mazee, bila test ukiingia nayo ndani ya NDOA utashaa. Ndo mara sio wewe mara nilikosea. Kula kitu kwanza then ukinogewa unaweka NDANI
 
Ndugu zangu, bila kumtanguliza Mungu kila kitu kinaweza kuwa kigumu, mimi na mume wangu tulikutana kwa mara ya kwanza siku ya honeymoon, na hakuna tatizo lolote baya. Tulimuomba Mungu na Mungu alitusaidia na ndoa yetu inaendelea vizuri na tuna watoto wawili sasa, na Mungu ndio tumaini letu siku zote. Mambo haya ya kujaribujaribu lazima utakuta kosa tu kwa sababu wewe si unatafuta makosa? lazima uyaone na hiyo ni kazi ya shetani lengo lake usimpendeze Mungu, nawasihi muaminini Mungu muweza wa yoote atawasidia tu kama alivyotusaidia na sisi
 
Utanunuaje nguo bila kujaribu?. Hata madukani kuna changing room ambako unatumia kujaribisha nguo kabla ya kununua. Unaweza kumwona mtoto bomba ile mbaya kumbe mashine mbovu kinoma na inatoa harufu kama panya aliyeoza. Hata gari unafanya test drive kabla hujanunua.
Acha kufananisha nguo na mwanamke, nguo unabaili kila siku na mara nyingine mara mbili au tatu kwa siku,angalia kwa mwaka unavaa nguo ngapi? unanunua nguo ngapi, kama kwako nguo ni sawa na mwanamke una hatari na hakika unahitaji msaada wa Mungu
 
we nawe sijui uko sayari ya ngapi? kwanza sijakuelewa hapo uliposema kuwa unaweza kukutana na kitu usichotarajia, hivi unadhani atakuwa na nini nilazima atakuwa na K au unadhani atakuwa na K na B zote? all in all fanya kila ujuacho ila make sure u test it before ,,,,,
 
yeah hii haijakaa vizuri kivile kabla ya ndoa nini inatakiwa unapima oil
unaweza mjita ukajikuta unagugumia the rest of your life
 
nimuhimu test bfr use...unaweza kununua cm bila kujaribu?nivizuri kuchakachua kabla ya ndoa inakufanya ujue mapungufu ya mwezako,unaweza kuta demu ana shimo mojaaa tu la haja kubwa la kujojoaa hakuna kunaa mkia[shemale]au mwanaume anakibamiaa misili ya kidole kidogo cha mguu.ALWS REMEMBER TO SHAKE B 4 USE..................
 
Acha kufananisha nguo na mwanamke, nguo unabaili kila siku na mara nyingine mara mbili au tatu kwa siku,angalia kwa mwaka unavaa nguo ngapi? unanunua nguo ngapi, kama kwako nguo ni sawa na mwanamke una hatari na hakika unahitaji msaada wa Mungu

Nguo ina thamani kubwa sana kwangu kuliko mwanamke.
 
Nguo ina thamani kubwa sana kwangu kuliko mwanamke.

lo, Mungu akuhurumie. ina maana nguo ina thamani zaidi ya mama yako? zaidi ya mama wa watotot wako? very sad. i will pray for you today. may the Lord ur God deliver you from this sin this day, amen
 
haha haha
apana its just u n only....kwan asi unaniona peke ako apo au kuna mwngne?
Kimbweka jaman vp maziwa ya simblis umeniletea?

haaaa!!!, umenitoa leo. Nipe mie hiyo tenga ya maziwa ya simbilisi. Bei chee kwetu.
 
ndugu zangu, bila kumtanguliza mungu kila kitu kinaweza kuwa kigumu, mimi na mume wangu tulikutana kwa mara ya kwanza siku ya honeymoon, na hakuna tatizo lolote baya. Tulimuomba mungu na mungu alitusaidia na ndoa yetu inaendelea vizuri na tuna watoto wawili sasa, na mungu ndio tumaini letu siku zote. Mambo haya ya kujaribujaribu lazima utakuta kosa tu kwa sababu wewe si unatafuta makosa? Lazima uyaone na hiyo ni kazi ya shetani lengo lake usimpendeze mungu, nawasihi muaminini mungu muweza wa yoote atawasidia tu kama alivyotusaidia na sisi

wambie vijana aine!@!!!
 
utanunuaje nguo bila kujaribu?. Hata madukani kuna changing room ambako unatumia kujaribisha nguo kabla ya kununua. Unaweza kumwona mtoto bomba ile mbaya kumbe mashine mbovu kinoma na inatoa harufu kama panya aliyeoza. Hata gari unafanya test drive kabla hujanunua.

acha kufuru. Nani aliyekwambie mwanamke ni nguo. Hujui mama yako aliye kuzaa NI MWANAMKE, akuvalisha nepi,akafanyia kila kitu, kamasi zako kazitoa kwa kinywa chake , halafu leo eti ni nguo. Mbona unakuwa huna shukrani.
 
Back
Top Bottom