kunywa kutwa mara 3

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
393
Dokta: Mama
tumemchunguza mumeo
kwa makini sana, jopo lote
la madaktari
tumekubaliana mumeo
anahitaji mapumziko japo
ya mwezi. Sasa tafadhali
chukua hivi vidonge vya
usingizi vitasaidia sana.
Mmama: Asanteni sana,
sasa niwe nampa mara
ngapi?
Dokta: Unatakiwa wewe
uwe unakunywa vidonge
hivi kutwa mara tatu kwa
mwezi mzima, mumeo
atapona.
 
Back
Top Bottom