Kunyimwa goli: Yanga yaenda CAF kudai point 3

Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Medeama, uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) KULALAMIKA uamuzi mbaya ulioonyeshwa na mwamuzi aliyechezesha mchezo wao huo
.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo alikiri kuandika barua ya MALALAMIKO kwa CAF “Ni kweli tumepeleka barua ya malalamiko kwa CAF kutokana na kuwa na ushahidi wa matukio ambayo ni wazi hatukutendewa haki ambayo ni pamoja na rafu ambayo mchezaji wetu Nickson Kibabage alichezewa na mchezaji wa Medeama ambaye alistahili kuonyeshwa kadi nyekundu lakini refa hakufanya hivyo.
.
“Lakini pia kuna tukio la bao letu halali ambalo Kibabage alifunga lakini refa akalikataa akiwaaminisha watazamaji na wachezaji kuwa waliotea hivyo sio bao sahihi lakini baada ya kulitazama kwenye video tumebaini uonevu; Tumewaandikia ili wajue nini cha kufanya kwa sababu matukio kama yale yananyima timu haki ya kupata ushindi na kuipa nyingine matokeo ambayo haijastahili,” alisema Gumbo

My Take
Utopolo at work
Kwa Ulichoripoti na ulichoeleza ni wazi wewe ni platinum member ki-la-zaa!
 
Walichofanya Yanga kipo sahihi wametoa malalamiko yao katika mambo yaliodhahiri Kuna timu ililalamika imewekewa sumu kwenye gali na wala hawakuwa na ushahidi wowote sembuse hilo
 
Ni vizuri kuwaandikia barua CAF, Lakini sidhani kama kuna sheria au kanuni ambayo inaweza kuipa Yanga ushindi kwa maamuzi mabaya yaliyofanywa na muamuzi wa mchezo kwa kukataa goli halali, kilichobaki wabadilishe sheria au waanzishe matumizi ya VAR katika group stage.
Yanga hapo wanachotaka hatua zichukuliwe dhidi ya muamuzi ili matukio kama hayo yasijitokeze mala kwa mala sio kuwa wanataka pointi tatu kama alivyosema mleta mada
 
Mpira ulishaisha subirini mechi zinazofuata, hayo mengine tuwaachie waganga wa kienyeji, na kama CAF watawajibu barua yenye sababu kama hizo basi mshukuru sana, lakini hapo hakuna issue!
Walimu wana kazi ngumu sana jitu jinga kama wewe kulifundisha mpka likajua kusoma wamepambana narudia kwa mara ya mwisho matokeo yanafutwa sio kupewa points mezani mechi inarudiwa refer mechi ya world cup qualifications kati ya South Africa na Senegal 2017 refa alitoa penalty ya utata SA wakapoteza ile mechi baadae wakalamika FIFA maamuzi yanatoka mechi irudiwe neutral ground, sikufundishi tena kama hauja elewa basi
 
Ni vizuri kuwaandikia barua CAF, Lakini sidhani kama kuna sheria au kanuni ambayo inaweza kuipa Yanga ushindi kwa maamuzi mabaya yaliyofanywa na muamuzi wa mchezo kwa kukataa goli halali, kilichobaki wabadilishe sheria au waanzishe matumizi ya VAR katika group stage.
Ukimsikiliza huyo andazi la mo utapotea. YANGA walichokifanya wameiandikia barua CAF kuwajulisha maamuzi mabaya ya mwamuzi huyo. Wameoanisha sehemu kama tatu ambazo kwa wazi kabisa mwamuzi huyo alifanya kwa makusudi kabisa ikiwa kwa nia ovu ya kuwaminya YANGA,,likiwemo goli lililokataliwa, ili nao CAF wapitie wajiridhishe,siku nyingine wajue jinsi ya kupambana na waamuzi kama hao. Hii ni muhimu ksbb ukikaa kimya bila taarifa mchezo kama huo unaweza kuendelea. Iwe ni Simba anacheza kimataifa nje au yoyote timu ya Tanzania.

Hakuna mahala YANGA wamedai point kama huyu mbwiga anavyotaka kuwaaminisha mabumunda wenzie. Na hapo watakuja wengi kutoka side hiyo ksbb wanaeleweka akili zao.
Kuamzia viongozi wa Simba,mropokaji wao mpaka mashabiki wa kawaida macho,masikio yote ni kwa YANGA,wameachana kabisa na timu. Kutwa ni habari za YANGA tu
 
Lazima udislike. Si ulitaka kuwashika mazuzu wa upande huo. Kuwafungua ukweli ulivyo,tofauti na ulichokiandika lazima usipende
 
Acha kujipendekeza mbwa wewe. Huo ushoga wako mpelekee baba yako aliyekufundisha. Kwangu mimi utapoteza tu muda. Sijawahi kuwa na urafiki na mashoga.

Imagine nimekuweka kwenye ignore list, lakini bado tu unahangaika kila siku kuniletea matackle! Hujishtukii tu.

Halafu Moderator mnapenda sana kumlea huyu mtu wenu. Alianza kunitukana. Na mfahamu fika uwezo wa kumjibu ninao.
Mashoga mnakuwa na hasira na ubabe mwingi lakini mwisho wa siku mnapigwa pipe tu. Wacha hasira mzee haya maisha ya kuinamishwa umeyachagua mwenyewe subiri tu siku ya mwisho utupwe motoni. Kama umeni ignore kwani nini unafungua post zangu si ungezipotezea tu. Wacho ujuaji mzee ilhali huna marinda.
 
Ninavyojua sheria za mpira ni kuwa uumuzi wa refarii na wasaidizi wake ndio wa mwisho hata kama ni uamuzi mbovu wa waziwazi. Sana sana ni kuwa refarii huyo na wasaidizi wake wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu lakini matokeo ya uwanjani hayabadiliki.
Sio mbaya ukweli ujulikane.
 
Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Medeama, uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) KULALAMIKA uamuzi mbaya ulioonyeshwa na mwamuzi aliyechezesha mchezo wao huo
.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo alikiri kuandika barua ya MALALAMIKO kwa CAF “Ni kweli tumepeleka barua ya malalamiko kwa CAF kutokana na kuwa na ushahidi wa matukio ambayo ni wazi hatukutendewa haki ambayo ni pamoja na rafu ambayo mchezaji wetu Nickson Kibabage alichezewa na mchezaji wa Medeama ambaye alistahili kuonyeshwa kadi nyekundu lakini refa hakufanya hivyo.
.
“Lakini pia kuna tukio la bao letu halali ambalo Kibabage alifunga lakini refa akalikataa akiwaaminisha watazamaji na wachezaji kuwa waliotea hivyo sio bao sahihi lakini baada ya kulitazama kwenye video tumebaini uonevu; Tumewaandikia ili wajue nini cha kufanya kwa sababu matukio kama yale yananyima timu haki ya kupata ushindi na kuipa nyingine matokeo ambayo haijastahili,” alisema Gumbo

My Take
Utopolo at work
Tunatafuta upo mkono wa nani katika hujuma dhidi ya mwananchi 🤔
 
Huu ni mfano mzuri sana wa upuuzi ambao mashabiki wa Simba wanapost hapa. Ni wapi ambapo kiongozi huyo anasema wanataka pointi tatu. Sheria ipi inaruhusu timu kupewa ushindi kwa sababu ya kosa la refa? World Cup 1986 Maradona (RIP) alifunga goli la mkono. Na ilkuwa semifinal ya world cup. Goli lilifutwa? So why this stupidity? Halafu ni the same guys over and over. Sayville, Okwi boban sunzu, 1979magufuli et al. Nafikiri ni the same guy with different IDs. Or are they quadraplets ?
 
Back
Top Bottom