Kung'arisha uso ( Kuwa soft) na kuwa sopu sopu

nazipenda kwa kweli, bei reasonable kabisa.

Ila napenda kuwa na bio oil pia kwa ajili ya miguu.

ohoo.....mi napenda kuwa na Feminelle na Dimple Defence (oriflame)........yu no wora ai mini....
 
Kweli jamani, kama mwanaume unajijua una chunusi au vipele au uso haujakaa sawa jitahidini kutumiwa vipodozi japo mtakate. Halafu punguzeni na vitambi jamani.
 
1. Ngozi zenye mafuta...Kamua Limao/ndimu, au aloe vera au blend tango chukua pamba anza kupaka kwa kusugua gently usoni(kwa kuelekea juu) ukitoka kuoga asubuhi na jioni..
2. Kunywa maji mengi ...
3. Kama una chunusi usithubutu kuzikamua kwa mkono utaacha makovu, rejea hatua ya kwanza
4. Kabla ya kulala waweza paka msago wa karoti au papai kaa nao 15 mins then kaoshe uso
Au kama vipi
Kanunue
1. Apricot scrub (ya strawbery ndo nzuri)
2. Mask
3. Eskino (ya lemon ndio nzuri)
Ziipake kufuata mtiririko... Inapendeza kama kutakuwa na mtoto mkali anakufanyia haka kamchakato
Then UTAFUTE LOTION NZURI KWA NGOZIYO''
 
waanze saa ngapi?

Pita saloon za Sinza, full kusuguliwa huku wakifumba vijicho.

Eheheehe eti huku wakifumba vijicho eheheehh.. Ujue pale kuna kaburudani fulani kanapatikana thats y wanawekaga madada wakufanya kale kamchezo,' unaweza kuomba namba ya simu''
Unajikuta huduma ishaisha unaambiwa inuka watoe kale kakitambaa kao ka kukuzuia usichafue nguo kidume unagoma kumbe kitu kimeenda mnara.. Tena usiombee uwe umeenda na mamsapu..
 
ha ha ha, kumbe huwa kinainua mkonge?
Basi siku ingine waambie wavune katani.

Eheheehe eti huku wakifumba vijicho eheheehh.. Ujue pale kuna kaburudani fulani kanapatikana thats y wanawekaga madada wakufanya kale kamchezo,' unaweza kuomba namba ya simu''
Unajikuta huduma ishaisha unaambiwa inuka watoe kale kakitambaa kao ka kukuzuia usichafue nguo kidume unagoma kumbe kitu kimeenda mnara.. Tena usiombee uwe umeenda na mamsapu..
 
Kweli jamani, kama mwanaume unajijua una chunusi au vipele au uso haujakaa sawa jitahidini kutumiwa vipodozi japo mtakate. Halafu punguzeni na vitambi jamani.

Vitambi hapa havina nafasi tutavipigia mazoezi mpaka vikome, Tatizo kung'aa face, yaani mtu mpaka utumie adobephotoshop
 
1. Ngozi zenye mafuta...Kamua Limao/ndimu, au aloe vera au blend tango chukua pamba anza kupaka kwa kusugua gently usoni(kwa kuelekea juu) ukitoka kuoga asubuhi na jioni..
2. Kunywa maji mengi ...
3. Kama una chunusi usithubutu kuzikamua kwa mkono utaacha makovu, rejea hatua ya kwanza
4. Kabla ya kulala waweza paka msago wa karoti au papai kaa nao 15 mins then kaoshe uso
Au kama vipi
Kanunue
1. Apricot scrub (ya strawbery ndo nzuri)
2. Mask
3. Eskino (ya lemon ndio nzuri)
Ziipake kufuata mtiririko... Inapendeza kama kutakuwa na mtoto mkali anakufanyia haka kamchakato
Then UTAFUTE LOTION NZURI KWA NGOZIYO''

Yaani hivi vitu vikikubali ki ukweli utashine, but mi nshajaribu ka limao na asali ndo inanikataa kabisa mask ndo kabisa, Apricot scrub ni nzuri inanikubali, Good advice, keep it up
 
Pamoja sana.. Kama limao linakusumbua angalia options nyingine. Ila nashauri ukatumia vitu natural zaidi than hivyo vya makopo vyenye Chemicals
 
Back
Top Bottom