Kundi la wahuni mitaa ya Mabibo!

Tembea na bisibis kama utakosa silaha za moto, wakikuvamia wewe chagua mmoja wa kula nae mpaka mwisho. Choma bisibisi then peleka kituoni ukiwa na petrol na kiberiti chako. Ukifika nje ya kituo muwashe moto huyo jamaa polisisiem watajua kuwa hii tabia haitakikani.

Wananchi pia wa eneo husika vipi? Mbona hamna mshikamano? Mnapiga simu majirani zenu wa mbele mnawazunguka hao jamaa mnakamata. Hawawezi kitu ni waoga. Watu wanaovamia wakiwa wengi na kwa kutegemea viwembe na visu ni dhaifu sana, mnawazunguka mnachimbia kaburi ya halaiki.

Hii kitu haikubaliki. Pole Katavi
 
Pole mkuu, inakuwaje wanamvamia mtu wasiyemfahamu tena mchana kweupe! Ninavyowafahamu watu wa namna hiyo, ukijifanya unawasemesha ama kuamulia ujue unao. Cha msingi siku nyingine ni kuwa nao mbali.
 
Pole mkuu, inakuwaje wanamvamia mtu wasiyemfahamu tena mchana kweupe! Ninavyowafahamu watu wa namna hiyo, ukijifanya unawasemesha ama kuamulia ujue unao. Cha msingi siku nyingine ni kuwa nao mbali.

Hawa walikuwa wanatembea katika makundi ya watu 5 hadi kumi. Kila wanayekutana naye lazima akabwe na ukileta ubishi ndio hivyo unachanwa na viwembe...
 
Pole sana mkuu hiyo inaitwa kulakula usiombe ukutane na hawa viumbe wakiwa wanatoka mpirani halafu timu yao iwe imefungwa wanakomba kila kitu ten una bahati wamekuachia simu
 
Jamani pole sana Katavi kwa maswahibu yalikupata. ndiyo mana watu wakimata kibaka ni majivu tu!
 
Pole sana mkuu hiyo inaitwa kulakula usiombe ukutane na hawa viumbe wakiwa wanatoka mpirani halafu timu yao iwe imefungwa wanakomba kila kitu ten una bahati wamekuachia simu

Simu hawakuiona, katika harakati za kuitafuta ndio wakanichania suruali. Walikuwa kama 4 walionivamia!
 
Pole sana Mkuu Katavi..ulikuwa kwenye gari wakakuvamia au ulikuwa kwa miguu?

Nilikuwa ndio nimeshuka kwenye gari, ghafla nikaona kundi la vijana wakiimba na watu kukimbia ovyo, kabla sijajua nini kinaendelea nikashtuka nipo chini na jamaa wanagombea begi la laptop na wengine wakipekua mifukoni.
 
Pole sana Katavi, Dar es Salaam yote sio salama!
 
Mnaogopa na kulaani vibaka waibao ili mkono upate kwenda kimyani hawa siyo wa kulaumiwa kabisaaa.
Mkuu wa kaya na mafisadi wenzie ndiyo wa kulaumiwa wangelekebisha life na kuacha ufisad wa kithenge vijana wasinge fanya haya.
 
Pole mkuu, anza gym sasa manake naona vibaka wanakuonea sana, lol..
 
Dawa ni kutembea na spiring knife tu.. Wakikuvamia unaanza na mmoja wao unazamisha cha mbavu tu!
 
Back
Top Bottom