Kundi la wahuni mitaa ya Mabibo!

On the new year day, in mombasa town, half of the group that was doing similar activities was killed by the organised wananchi.
 
On the new year day, in mombasa town, half of the group that was doing similar activities was killed by the organised wananchi.
Inabidi watu waji-organize na wawafanyizie hawa wahuni.
 
nilikuwa ndio nimeshuka kwenye gari, ghafla nikaona kundi la vijana wakiimba na watu kukimbia ovyo, kabla sijajua nini kinaendelea nikashtuka nipo chini na jamaa wanagombea begi la laptop na wengine wakipekua mifukoni.

kama muvi vilee?
Pole sana katavi
japo nimecheka mno
 
pole sana ila nenda kawatangazie dau utaipata ni njaa hizo tu ndio zinawasumbua..
 
Acha ujinga wako wewe, yaaani unazaa watoto harafu unategemea rais ndo akulelee wanao ama wawe kulakula?!, kumbuka raisi alisema:" ukitaka kula shurti na wewe uliwe". Utabaki kuhesabu makaburi. Ciao.
Mnaogopa na kulaani vibaka waibao ili mkono upate kwenda kimyani hawa siyo wa kulaumiwa kabisaaa.
Mkuu wa kaya na mafisadi wenzie ndiyo wa kulaumiwa wangelekebisha life na kuacha ufisad wa kithenge vijana wasinge fanya haya.
 
hiii ni tabia inachiwa ienee zamani kulikuwa na comando yosso walianza hivi hivi selekali inawaachia tunasubili mkuu mmoja wa polisi avamiwe ndio wataanaz kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom