Kuna wanawake wengine wanavituko sana.

Fazaa bado hujaacha wewe? kisha nimekumiss sana mwenzio, hebu nitafutie Ijah mana nishatafuta sana moshi siuoni humu.:eyebrows:
Hahaha huyo utamuona vipi humu na yeye kabaki na moshi wake pale moshii.

Ukimuona msalimie sana mwambie mwenzake nilikuwa nasumbuka kutafuta Bs sasa iko mfukoni naongoje kuanza next step.

Ukiniona napotea potea ujuwe masomo mengine hayasomeki inabidii utafute na waganga ndo elimu inapanda kichwani.

Nimefurahi sana aisay kukusikia umenikumbusha mbali....Happy new year.
 
Back
Top Bottom