Kuna vuguvugu kubwa Vijijini la "KUIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YOTE"

Adui mkubwa wa CCM ni uelewa wa wananchi linapokuja swala la haki zao. Huo ndio mwisho wao.
 
Long may the wind of liberty & change blow. Lasting may its fruits of justice, peace and prosperity be. Death to ccm and their puppets.
 
CCM imetufikisha pabaya. FACT.

Kwa sasa si tu kwamba inapingwa na haipendwi bali INACHUKIWA.
 
Leo ukiona mtanzania anashabikia CCM aidha ni mzee sana ana upofu wa uelewa au kama ni kijana basi atakuwa na maslahi ndani ya CCM na Serikali yake. Watu wamechoka kudanganywa kila siku, kuburuzwa na kulazimishwa kufanywa masikini wa kudumu ndani ya nchi yenye raslimali rukuki. Huku viongozi na familia zao pamoja na wapambe wao wakiendelea kujineemesha kwa kusaini mikataba ya kifisadi na kutoruhusu hata wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi waione.
Kila kitu kuanzia madini, misitu, nyumba za serikali, hazina ni uporaj,i uporaji kila kitu ktk nchi hii, utafikiri wao wakishaondoka nchi haitakuwepo tena. Inasikitisha sana natamani kulia. Tumechoka!, tumechoka!, hakika tumechoka.
CCM ilipewa muda mrefu kujirekebisha, ili kuwekeza ktk imani ya watanzania kwa kuwaletea maendeleo hawakufanya hivyo, waliendelea kuwapuuza wananchi na kuwadharau kuwa watafanya nini?. Walitegemea na kuegemea zaidi nguvu za dola na usalama wa Taifa kuwatisha wananchi na kuendelea kuipora na kuimaliza nchi.
Sasa wananchi wamestuka na wamesema ni mwisho wa kuburuzwa. wamekuwa jasiri kutetea na kulinda kile wanachoamini ni haki yao bila kujali nguvu za dola. Na hakika watashinda.
CCM wamebaki wanashangaa, hawakujua kuwa siku hazifanani, siku isiyokuwa na jina inakuja.

 
CCM haikubaliki ila wanalazimisha tu, naona sasa watakiona cha moto si mijini si vijijini.
 
Nipo kwenye maandalizi kabambe, 2015 nitalichukua jimbo la Iramba mashariki kupitia Chadema.

nenda.kampumzishe huyo mama.alipokuwa kule ndala ttc.alikuwa na roho mbaya sana.alikuwa anawaharibia feature.watoto wa masikini.alikuwa mungu mke pale.akiabudiwa.eti.ukilipita karatasi bila kuliokota chuo huna.alinijuza rafik.mtoto wa jiran yangu .dian balampama.alikokuwa anasoma.hapo.viva cdm.hata mie nakwenda iramb magharibi.ole wake tarishi wa laigwanani.el.atapata moto.
 
Back
Top Bottom