Kuna vuguvugu kubwa Vijijini la "KUIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YOTE"

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
Niko wilaya ya Meatu jimbo la KISESA ambalo liko chini ya mbunge wa CCM bwana Luhaga Mpina.Nimezunguka vijiji kazaa,wananchi wanasema jimbo letu ndilo la kwanza kuchagua upinzani ndani ya wilaya ya Meatu iliyo na majimbo mawili moja la KISESA NA LINGINE LA MEATU ambalo liko chini ya CHADEMA.Wanasema walimkataa Erasto Tumbo (2010) ambaye alikuwa mbunge wa UDP kwa sababu alikuwa hasikilizi shida zao,pia ilikuwa ni nadra kumuona jimboni kwake. Wanasema iliwalazimu warudie kuichagua CCM kwa sababu mpinzani alikuja Erasto Tumbo ambaye walishaapa hawatamchagua kwa sababu aliwasaliti alipokuwa mbunge kupitia UDP. Lakini wanasema HAKIKA MBUNGE WETU NI KUPITIA CCM SI KWAMBA TUNAMPENDA NA CCM YAKE bali hawakuwa na chaguo mbadala. Na wengi wao kila kikundi wakiwa wanapiga stori utakuta wanasema CHADEMA NDIYO CHAGUO LETU KWA SASA KAMA UCHAGUZI UTAITISHWA NA TUNASUBIRI 2015 na mbunge wetu itabidi asome upepo huu. Mwisho wanasema wanaipenda CHADEMA si kwa sababu ni wema sana bali wao WANAONGEA MAMBO MUHIMU KWAO NA WANAONEKANA KUUMIZWA NA UMASIKINI WETU.Pia wanahitaji mtu makini kupitia CHADEMA ambaye atakuwa anasikiliza na kutenda kama mbunge.My take: Inawezekana mbunge wao wanampenda lakini CHAMA NDO TATIZO KUBWA.Hakika mambo si shwari tena huku vijijini kwa CCM,watu wameanza kutoa hofu kabisa na wanasema wao hawaogopi chochote kwani hofu ndo adui aliyekuwa anawasumbua na kwa sasa HAWANA HOFU TENA NA WAKO TAYARI KUDAI HAKI ZAO KWA NJIA SAHIHI.
 
Ndugu Jilala, mimi muda huu nipo huku Mwanhuzi wananchi wanaizungumzia Chadema tu na wanasema 2015 CCM haitapata hata kiti kimoja cha udiwani! Baadaye kidogo nitakuwa kijiji cha Ng'omboko nitakujuza na hali ya kisiasa huko ilivyo.
 
Nipo kwenye maandalizi kabambe, 2015 nitalichukua jimbo la Iramba mashariki kupitia Chadema.
 
Seif al Islam wa Tanzania yakupasa ufunguke macho na maskio.
2015 lazima tukupandishe karandinga...
 
Ndugu Jilala, mimi muda huu nipo huku Mwanhuzi wananchi wanaizungumzia Chadema tu na wanasema 2015 CCM haitapata hata kiti kimoja cha udiwani! Baadaye kidogo nitakuwa kijiji cha Ng'omboko nitakujuza na hali ya kisiasa huko ilivyo.

Mkuu umetaja jina Mwanhuzi ukanikumbusha mbaaaali sana.Mie nimezaliwa pale kijijini Mwagwila na nimeishi kijijini Paji na kumalizia pale Mwanyahina jirani kabisa na Mwanhuzi mjini kabla ya wazazi wangu kuamua kurudi Geita ambako ndiyo asili yetu haswa.Wasalimie sana kule na waambie Pipooozi...Pawa.
 
kweli watanzania tuikatae ccm na mambo yake yote,na kazi zake zote,tujitoe kuwa wanachadema hi na tuitumikie kwa uaminifu hadi mwisho, eee Mungu tusaidie
 
Mimi niko huku Kisesa mpaka nashangaa kabisa,watu wamechange kabisa,wakikuona una uelewa na mambo ya nchi wanasema wewe kijana ni makini lakini kama ni CCM hatukutaki na uelewa wako huo.Vijana wanahamasisha kwa kasi ya ajabu na wanasema LIWALO NA LIWE HATUWEZI KUJIFICHA TENA KAMA ZAMANI.Mmiliki mmoja wa duka katika Kata ya Mwandoya anasema yeye yuko CHADEMA WALA HAJIFICHI,YUKO TAYARI KWA LOLOTE NA anadai baadhi ya wafanyabiashara ni CHADEMA kwa kujificha ficha eti wakijitokeza watafilisiwa,yeye anasema NO ACHA IWE HIVYO KAMA WANAWEZA,KODI ATALIPA NA ATAIPIGANIA CHADEMA MAKA IINGIE MADARAKANI.
 
CCM iko ICU hakuna wa kuisaidia hata walezi wake wenyewe wameshaanza kuinanga.
 
Mkuu umetaja jina Mwanhuzi ukanikumbusha mbaaaali sana.Mie nimezaliwa pale kijijini Mwagwila na nimeishi kijijini Paji na kumalizia pale Mwanyahina jirani kabisa na Mwanhuzi mjini kabla ya wazazi wangu kuamua kurudi Geita ambako ndiyo asili yetu haswa.Wasalimie sana kule na waambie Pipooozi...Pawa.
Ngoja niwape hiyo salam yako vijana wenye pikipiki hapa " Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooppppppppppllllllllllllllleeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz pooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
 
Mimi niko huku Kisesa mpaka nashangaa kabisa,watu wamechange kabisa,wakikuona una uelewa na mambo ya nchi wanasema wewe kijana ni makini lakini kama ni CCM hatukutaki na uelewa wako huo.Vijana wanahamasisha kwa kasi ya ajabu na wanasema LIWALO NA LIWE HATUWEZI KUJIFICHA TENA KAMA ZAMANI.Mmiliki mmoja wa duka katika Kata ya Mwandoya anasema yeye yuko CHADEMA WALA HAJIFICHI,YUKO TAYARI KWA LOLOTE NA anadai baadhi ya wafanyabiashara ni CHADEMA kwa kujificha ficha eti wakijitokeza watafilisiwa,yeye anasema NO ACHA IWE HIVYO KAMA WANAWEZA,KODI ATALIPA NA ATAIPIGANIA CHADEMA MAKA IINGIE MADARAKANI.
Mkuu, sasa hivi ni muda wa ukombozi, unatakiwa kueneza elimu ya uraia popote pale. Peeeeeeeeeeeeeeapleeeeeeeeeeez pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Lake Zone @ work!! Sisi ndio king makers tukisema no kwa magamba magogoni bye
 
Sure, nikisikia habari za vijijini nakumbuka kweli kijijini kwetu Sitalike, wilaya ya Mpanda, mkoa mpya wa Katavi....I wish I could be there to educate my people and make them change....but time is not static, nikimaliza College in May I will be there.....kitaeleweka tu.

TOGETHER WE CAN BRING THE CHANGES WE NEED.....YES WE CAN.....GOD BLESS CDM
 
Hiyo ndiyo hali halisi katika maeneo mengi kwa sasa TZ, shule za kata zitasaidia sana kuiangusha CCM, good news
 
Sure, nikisikia habari za vijijini nakumbuka kweli kijijini kwetu Sitalike, wilaya ya Mpanda, mkoa mpya wa Katavi....I wish I could be there to educate my people and make them change....but time is not static, nikimaliza College in May I will be there.....kitaeleweka tu.

TOGETHER WE CAN BRING THE CHANGES WE NEED.....YES WE CAN.....GOD BLESS CDM
KATAVI Mkoa mpya ambao mkuu wake wa mkoa ni Bwana shamba Rajab Rutengwe. Gamba toka udogoni.
 
Ndugu Jilala, mimi muda huu nipo huku Mwanhuzi wananchi wanaizungumzia Chadema tu na wanasema 2015 CCM haitapata hata kiti kimoja cha udiwani! Baadaye kidogo nitakuwa kijiji cha Ng'omboko nitakujuza na hali ya kisiasa huko ilivyo.

Mkuu uko Bariadi maana hivyo vijiji vya mwahuzi na Ng'omboko najua viko Bariadi.
 
Back
Top Bottom