Kuna vitu Tanzania vimegeuzwa ujinga ila nyie viongozi tamaa mbele

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,742
Nilibahatika kuona nchi ambazo hakuna vyanzo vya umeme ila hata siku Moja sijawai kusikia kama jina kuanza mwezi kutafuta sababu kwa nini maharage Yana shindwa kupikika.

Suala la umeme

Tuna tribute za mito ambayo ukiweka hesabu tu ni aibu.

Ila zinaweza kutumika kutoa vyanzo vidogo kama kuongeza umeme.

Vyanzo vya upepo labda tunyamaze ila vyanzo vya kuzalisha umeme kutumia bahari. Kuna kampuni kubwa za kuendesha umeme wa nyuklia ila siwezi shangaa bwana pampasi aka nape kuzuia internet na kuweka limitation ya vifurushi.

Suala la maji
Tanzania tuna mito na maziwa ambayo tukiweka cycling inaweza kufanya hata Dodoma kuwa msitu na kuwa ya kijani ila usishangae hapo ndio spika wa binga anaenda kupinga upepo jangwani na kunywa maji safi mpaka kuona sisi wajinga.

Suala la nishati
Uchakataji wa nishati kama mkaa wa kutengeneza matumizi ya majumbani . Nimeona Wachina kuwa na idadi ya mabilioni ila wanatumia mkaa sana wakutengeneza.

Suala la ajira
Yani utaki kutatua ajira alafu mwisho wa mwezi tufunge maduka tufanye usafi au Jiji chafu bila kusafishwa.
Pili binafsi wa fursa zimebaki na watoto wa taifa.

Siwezi kushangaa hata JF iwezi kubadilika ingekuwa kwa wenzetu ingekuwa ni HTML version 1.0
 
Uafrika hasa utanzania ni laana.

Watu walio laanika hata wakae na vyakula bado watalia na kulalamikia njaa.

In abundance of water fools are always thirsty.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Et wanasema Tanesco n taasisi nyeti....huwez kumpa mgeni kuendesha.
 
Back
Top Bottom