Kuna uwezekano wa kumpata mwenza kwenye mitandao ya kijamii ukadumu nae?

toka nimeanza kutumia mitandao ya kijamii fb,twitter na jamii forums naonaga watu wanatafuta wachumba.
SWALI: hv ni kweli kuna m2 ameshawahi kumpata na wakakaa nae zaid ya miaka 5 kama yupo aseme .
Ah ah ah ah bila shaka ni muhanga. Pole sana. Hawa watu chart nao tu. Side ya pil hutakiw kuiface; mm sitakag hata kuwaona kwa sura tuishie humu humu tu; hayo mengine nitatafuta ninao wafahamu physicaly. Tena na hiv siku hz vibaka wengi wa mtandaon wabak nyuma ya pazia tu ctak kuwa mhanga
 
Mkitaka vivid na personal experiences mtuulize, happily married na tunazidi kumtukuza Mungu. A life partner anapatikana popote, kanisani, bar, msikitini, kwenye basi, daladala, mkutane bank etc.
 
Umetisha mkuu
 
Eli, in kweli Mkuu partner anapatikana popote ni suala la kuomba mungu inawezekana hata hapa hapa JF, sema some time majina nayo yanaogopesha watu kuna mmoja anajiita sijui Mwajuma Mchwawi afu anatafuta mchumba hivi kuna mtu atasogea serious kukutafuta sidhani hapo itakuwa masihara.

Mkitaka vivid na personal experiences mtuulize, happily married na tunazidi kumtukuza Mungu. A life partner anapatikana popote, kanisani, bar, msikitini, kwenye basi, daladala, mkutane bank etc.
 
inawezekana kama Mungu kapanga basi mtakua pamoja daima. huku kuna hadi ndoa ilitangazwa kabisa. fungua ile section ya love connect tafuta thread utaona tena huyo mwanamke alikua bikra. na. ana. miaka 40. walioko mitaani. ndo walioko humu chamsingi ni kupata mtu sahihi tuu. mimi naitumja sana mitandao ya kijamii na ni mtu mwema.
 
njooo pm plz tuongee kidogo
 
Back
Top Bottom