Kuna uwezekano wa kumpata mwenza kwenye mitandao ya kijamii ukadumu nae?

Kutafuta mchumba/mwenza kwenye mitandao ya kijamii, ni wazo bovu na la hatari zaidi. Kupata mchumba/mwenza kupitia mitandao ya kijamii, inawezekana sana.
 
Mi nilimpata badoo, tukatongozana Facebook, tunapigiana simu kwa Skype, mapenzi yetu tunaya update whatsapp, soon tutawapa kadi za mwaliko followers wetu wa instagram....na hapa jf tutaliweka wazi
Inawezekana kabisa
 
Uwezo wa kumpata upo kwa asilimia 98 ambaye ni used vya kutosha km5000000.

Ila sealed ni sawa na kutafuta sealed kwa mama mjamzito.
 
inawezekana kama Mungu kapanga basi mtakua pamoja daima. huku kuna hadi ndoa ilitangazwa kabisa. fungua ile section ya love connect tafuta thread utaona tena huyo mwanamke alikua bikra. na. ana. miaka 40. walioko mitaani. ndo walioko humu chamsingi ni kupata mtu sahihi tuu. mimi naitumja sana mitandao ya kijamii na ni mtu mwema.
Kwanini unajitetea sana?
 
Inawezekana mkuu! Kikubwa ni kuwa makini kabla ya kuanzisha mahusiano. Nayafurahia sana mahusiano yangu na la aziz wangu tuliekutana mtandaoni!
 
Back
Top Bottom