Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

Mamii umeshapata?

Ujue nahitaji kuoa sasa

Hebu tuambiane tafadhali!
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

tatizo umri tu hata kudanganyia siwezi,dada nawe vikongwe wanini hao watakuchezea tu hao.
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

mpaka umeamua kuja kujiuza humu ina maana umekitembeza kipapa mitaa yote mpaka kimeisha utamu. naona sasa umeamua kuja kututapeli tulioko humu!
 
mpaka umeamua kuja kujiuza humu ina maana umekitembeza kipapa mitaa yote mpaka kimeisha utamu. naona sasa umeamua kuja kututapeli tulioko humu!

We chizi kweli! Hahahahaha naskia kulia ! Mumuache miaka 110 atafute mwenzi wa maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom