Tetesi: Kuna uwezekano wa DPP Kufuta kesi ya Mbowe na wenzake Leo

Wacha iendelee ili sisi wananchi tuendelee kuona nyeti za mashahidi wa mchongo na wale wanaotuma.
Mawakili wa upande wa utetezi waendelee kuwavua nguo hao wenye divisheni iii ya point 21 (A Level) hadi watoto wao wawakatae
Hapo ilipofikia tumeshaona. Tutakuwa tunasoma zile zilizotufikia hadi sasa.
 
Mimi Sitaki kwenda kwenye ramli katika hili...ila yaliyoko wazi kama Mahakama zingekua Huru kesi hii ingeshatupwa siku nyingi.
 
Back
Top Bottom