Kuna uwezekano Serikali ya Samia imeishiwa hela. Wakandarasi hawajalipwa ndani ya nusu ya mwaka wa Serikali

3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.
Hapa ndio Wachina wanatupiga pesa ndefu sana maana hio riba unaambiwa ni kubwa sana sana kila ukichelewesha malipo yao, yaani ile pesa inapigiwa interest kila siku kwahio unawezq kukuta siku mchina analipwa hadi billion kama interest.
 
Pesa zinaibwa na zinazobakia zinatumika kwa mambo ya kipuuzi yenye kila daliliza upigaji.
 
Misallocation of resources.
Ukiona msafara wa makonda akienda kuwakumbusha watu wao majukumu Yao, huku vijana wanakaa madarasani kwenye vumbi bila walimu, bila vitabu utajiuliza kweli hii nchi Ina viongozi serious,!
 
Ni kweli pesa gakuna. Hakuna OC Halmashauri wala Wizarani au kwenye mataasisi toka mwezi wa 9. Mishahara yenyewe wanakopa. Mama kakausha kibubu kwa ziara za kijinga. Upigaji umekuwa mwingi na hakuna mkandarasi analipwa pesa toka mwezi 9 au 10 mwaka jana. Hali ni mbaya.
 
Na bado...mpaka waseme!

Huku mitaani nako hali ya ukusanyaji kodi ni 'tia maji tia maji'...ile kaulimbiu ya "ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti" utekelezaji wake kama vile umejifia baada ya kukosa wafuatiliaji.
Bila ukusanyaji mzuri wa kodi serikali itafilisika.
Hangaya hana habari...yeye ni anga kwa anga.

Kodi itoke wapi wakati wazalishaji wakubwa hawazalishi kwa sababu hakina umeme.
 
Hii nchi kwisha habari yake.
Dola moja sasa ni tshs 2800.
Mama kaikuta ikiwa 2150.
Ati kuna mtu ana jiita mchumi namba moja.
Nchi ime toboka kila upande.
 
Hivi,kama mkandarasi analamba penalty acheleweshapo kumaliza kwa wakati, serikali yenyewe ikinshindwa kutiza wajibu wake kama ulivyo mkataba, inakuwaje!
Inabidi wakulipe na riba kwa mujibu wa sheria ukitazama 'clauses' za mkataba lazier zitakuwa zimeeleza kuhusu hilo maana haipaswi kuzidi siku 20 toka umeomba malipo ikizidi hapa unayo haki ya kuwadai riba kwa muda waliokucheleweshea.
 
Ukishakuwa na kipaumbele cha kuwanunulia viongozi ma viieite badala ya kujenga barabara.......wewe tayari una tatizo la msingi kabisa kwenye namna unavyofikiri.
Hata huko kwenye kununua mavieite wamepiga cha juu hatari
 
Hii nchi kwisha habari yake.
Dola moja sasa ni tshs 2800.
Mama kaikuta ikiwa 2150.
Ati kuna mtu ana jiita mchumi namba moja.
Nchi ime toboka kila upande.
I tried to save a Shilling once but a shilling never saved me. I will never try to save it again....
 
Hapa ndio Wachina wanatupiga pesa ndefu sana maana hio riba unaambiwa ni kubwa sana sana kila ukichelewesha malipo yao, yaani ile pesa inapigiwa interest kila siku kwahio unawezq kukuta siku mchina analipwa hadi billion kama interest.
Acha uongo!
 
Mwaka wa fedha 2023/2024 ulianza July 2023 na mpaka leo February 2024 ni zaidi ya nusu mwaka. Habari zilizopo ni kuwa

1. Wakandarasi walioshida zaburi na kusaini tangu September mwaka jana mpaka leo hakuna aliyelipwa hada Advance hivyo wengi wamesimamisha kazi.

2. Wakandarasi wengine wengi wameshinda zabuni lakini mpaka leo february toka October na November hawahasaini mikataba ya kuanza kazi hivyo hakuna kinachofanyika

3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.

Kwa kifupi serikali ya Mama Samia haijatekeleza mradi wowote wa ujenzi katika mwaka wa fedha 2023/2024.

Swali ni Je?
1. Bajeti ya Ujenzi iliyopitishwa imeelekezwa wapi?

2. Au tayari wameamua kwenda kuilipia madeni ya mikopo iliyoiva kumbuka maneno ya mama mwenyewe kuwa huwa wanakaa na Mwigulu ni ku re allocate badget.

Serikali itupe majibu kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imetekeleza mradi gani wa ujenzi? either mpya au routine maintanance?
Miradi ya serikali Kwa wazawa inachangia Kwa kias kikubwa kuwafilisi,sjui wanaanzisha mirad ya nn kama hakuna fedha
 
Back
Top Bottom