Mwaka wa fedha 2023/2024 ulianza July 2023 na mpaka leo February 2024 ni zaidi ya nusu mwaka. Habari zilizopo ni kuwa
1. Wakandarasi walioshida zaburi na kusaini tangu September mwaka jana mpaka leo hakuna aliyelipwa hada Advance hivyo wengi wamesimamisha kazi.
2. Wakandarasi wengine wengi wameshinda zabuni lakini mpaka leo february toka October na November hawahasaini mikataba ya kuanza kazi hivyo hakuna kinachofanyika
3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.
Kwa kifupi serikali ya Mama Samia haijatekeleza mradi wowote wa ujenzi katika mwaka wa fedha 2023/2024.
Swali ni Je?
1. Bajeti ya Ujenzi iliyopitishwa imeelekezwa wapi?
2. Au tayari wameamua kwenda kuilipia madeni ya mikopo iliyoiva kumbuka maneno ya mama mwenyewe kuwa huwa wanakaa na Mwigulu ni ku re allocate badget.
Serikali itupe majibu kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imetekeleza mradi gani wa ujenzi? either mpya au routine maintanance?