Kuna ukweli kwamba ukiwa unatumia laptop si vema kuegemeza kwenye miguu..

MBISHI WA KITAA

New Member
Apr 21, 2011
1
0
Nimekua nikisika toka kwa watu tofauti tofauti kwamba kuna mazara kuegemeza laptop direct kwenye mwili je ili ni la kweli??????
 
Nimekua nikisika toka kwa watu tofauti tofauti kwamba kuna mazara kuegemeza laptop direct kwenye mwili je ili ni la kweli??????
Sasa ungeweka kitu na box...yaani ueleze kuwa uliambiwa kuna madhara ya jinsi gani!...kuna celli zinakufa?...unababuka?, au inanyonya damu?,,au ninini?..fanya homework vizuri!
 
Labda kama unatumia wireless inaweza kuwa unabsorb very little amount ya mionzi ambayo hata hivyo ni negligble..
Vinginevyo matumizi ya simu na radio call sijui yangekuwaje,maana lazima uhold tena jirani na mtambo(ubongo)
 
si vizuri kupakata lapy kwa korodani kwani zitazidisha joto linalotakiwa maeneo yale na kuletekeza madhara
 
Hakuna madhara yoyote - Baba_Enock amekuwa anatumia laptop kwa miaka 15 mfululizo sasa (tangia enzi za Compaq) lakini hajapata madhara yoyote!
 
madhara yapo as long as procesor delivers heat, and there are some radiotions zinazoasociate na heat. Nnavojua radiations hizo zkienda kwa korodan znaweza destroy cell structure na vi2 kama cancer n infertility vnaweza kupata. Sema ni madhara madogo sana na effect yake yaweza onekana even after 30 yrs 4 the one used to handle laptop on his thighs. So mnaweza tumia 2 kwa kuconsider life expectancy ya mTZ ni 40 yrs.
 
Hii inaweza kuelezwa vizurizaidi na watalamu wa mionzi. Bila shaka wstengenezaji walishachukua tahahdhari zote. nashauri watumiaji watahadari na jotpo la kuzidi karibu na nyeti kwani haya jotptola kawaida si zuri sembuse la lapto
 
Bad Effects on Having Laptop on Your Lap


Notebook (laptop) is a very efficient and important tool of many people today. Businessmen, college students, housewives and professionals all use laptops for one use or the other. However, it is better that men learn that they risk losing their fertility with the excessive usage of laptop computers.

The main reason men tend to lose their fertility with the excessive use of laptop computers is that the heat that is generated by the computers, and the posture that the man adopts to balance the laptop computer tends to increase the temperature surrounding the scrotum.

Scientific researches have proven that the higher is the scrotal temperature, the higher is the possibility of damaging sperms and affecting the male's fertility. Moreover, with the advent of Bluetooth and infrared connections, where there are wireless links to the internet, more and more men are using laptops on their laps than on a desk.

Men usually keep their legs open wider than women to keep their testicles at the right temperature, and for added comfort. However, with a laptop on their laps, they tend to adapt a less comfortable position so that they can balance the laptop on their laps. This leads to an increase in body temperature that is found between the thighs.

It has been recently proven that prolonged and continuous usage of laptops on the laps tend to lead to damage to the fertility of the man. This was because the use of laptops usually leads to about 2.7C increase inthe scrotal temperature of the male.

This has lead to more and more men having decreased sperm levels where sperm counts seem to have dropped by a third in ten years.
Most of the reasons for this reduced sperm count is drug use, smoking, alcohol and obesity. Besides this, pesticides, radioactive materials and chemicals, and laptops too contribute to decrease in fertility in men.

The human male body has a fixed testicular temperature to maintain usual sperm production and development. Though it is not known the exact time of heat exposure and frequency of exposure to heat that can lead to reversible and irreversible production of sperms, it is known that frequent usage of laptops can lead to irreversible or partially reversible changes in the reproductive system of the male body.

This is why it is advised that young men and teenage boys should limit the use of laptops on their laps to avoid losing their fertility. It is not advisable for young men or boys to also use wireless services on their laps to play games and do other work as they are sure to develop problems in ten years' time, when trying to have a family.

It is thereby advised that men should use laptops on the desk; in fact, anywhere else is possible, other than using it in the lap. Women don't have to worry much about laptop computers on their laps, as so far, there have been no studies on the impact of using laptop computers on their laps.

Kwa Kutumia Laptop kuweka kwenye Mapaja yako unaweza kupoteza uzazi kwa wewe Mwanamme kutokana na hilo joto linalotokana na Laptop yako kuingia mwilini mwako usiweke Laptop yako kwenye Mapaja yako Tafadhali.
 
Na itakuwa pia vizuri ukitumia Laptop kama una umeme wa nyumbani jaribu kuitowa Betri ya laptop ikishajaa chaji uiondoshe kwenye Laptop yako, utumie tu Waya wa

umeme kwenye Laptop yako unapokuwa nyumbani. Haswa ukizingatia kuwa unapokuwa nje na hapo unapoishi unaweza kutumia Betri yake na hivyo inasaidia kuifanya Betri ya laptop yako kuwa na nguvu, na kutumika kwa muda mrefu pasipo kutegemea Waya wa Umeme huo ndio ushauri wangu.
 
Back
Top Bottom