Si kweli. Ila kuanzia 35, mume atapata ila wakati wa uzazi anaweza pata rabsha maana nyonga zilishaanza kuwa ngumu.
substantiate...Sio kweli..
Na huyo mume itabidi awe mbabu manake 35 hujaolewa wala huna mtoto ni kali... Mwanamke hata akiwa na 30 akapata mtoto, by the time mtoto ana 10 yeye ana 40...hapa inakuwa kama vile bibi analea mjukuu....Si kweli. Ila kuanzia 35, mume atapata ila wakati wa uzazi anaweza pata rabsha maana nyonga zilishaanza kuwa ngumu.
Because there are more opportunities for women now-dayssubstantiate...