Kuna uhusiano wowote kati ya hawa?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,485
14,353
tundu-lissu.jpg John Lisu.JPG

wana jamii!

nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna uhusiano wowote kati ya Mwanasiasa Tundu Lissu na mwimbaji wa nyimbo za injili John Lissu.
 
umeuliza swali zuri hata mimi several tyms huwa ninajiulza hilo swali so lets wait labda kuna watu watatupa majibu hapa
 
Back
Top Bottom