Kuna uhusiano kati ya Lema na yule Wakili bilionea wa Arusha?

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Kumekuwa na taarifa za kuhusu huyu wakili maarufu wa Arusha aliyekamatwa kwa tuhuma za money laundering, kuna mtu wakati naongea naye nikaona anajaribu kumwuunganisha huyi wakili katika kufahamiana na Godbless Lema wetu wa Chadema. Hivi ni kweli huyu wakili ana uhusiano wowote (kibiashara, kindugu, kikazi, kichama, n.k) na Lema? Mwenye taarifa atujulishe tafadhali?
 
Ndugu yangu unapoleta taarifa yoyote iwe tetesi au taarifa ya aina yoyote ujaribu kuiweka vizuri. Umetumia maneno, '...mtu wakati ninaongea naye nikaona...' unaongea kitu na mtu halafu unasema tena unaona badala ya kusikia. Umwulize vizuri huyo uliyekuwa unaongea naye akuambie kikamilifu anachokifahamu. Usijifanye kama vile umeongea na mtu na kusikia kitu kumbe ni ubunifu wako wa kutafuata habari.
 
Ndugu yangu uzi wako hauna mashiko,ila kama uhusiano upo kama mwanachi wake wa kawaida kama wewe ulivyo na uhusiano na mbunge wako au diwani wako.
 
Ndugu yangu unapoleta taarifa yoyote iwe tetesi au taarifa ya aina yoyote ujaribu kuiweka vizuri. Umetumia maneno, '...mtu wakati ninaongea naye nikaona...' unaongea kitu na mtu halafu unasema tena unaona badala ya kusikia. Umwulize vizuri huyo uliyekuwa unaongea naye akuambie kikamilifu anachokifahamu. Usijifanye kama vile umeongea na mtu na kusikia kitu kumbe ni ubunifu wako wa kutafuata habari.

Thawa Thawa!
 
Hiyo nyekundu wengi wetu tumezoea kuona kwa macho ila hata ubongo unaweza kuona pia kwa hilo nakurekebisha kuhusu tetesi mie simo na sina comment yoyote.
 
Hivi hata akiwa na uhusiano wa kirafiki au kikazi au wowote ule (as long as hukumsaidia kupata hizo bilioni 18 zinazotuhumiwa kupatikana kwa njia haramu) nae kuna kosa gani? Medium Mwale ni wakili maarufu mjini Arusha. Hivi ukiwa na tatizo la kisheria halafu ukaenda kwa wakili una kosa? Mie naona thread zingine zinaanzishwa tu for the sake ya kuzusha vizivyozushika!
 
Weka hapa ulichoona wewe ndicho tukusahidie iwapo unaona vizuri au la!
 
i guess so! lema ni mbunge na arusha mjini na huyo wakili ni mkazi wa arusha mjini
 
Lema,, yes may be 100 years ago their grandfathers were relatives or they from same tribe region or their name are just related. Is it gambas bomb'''
 
wadau mimi ninachokiona hapa ni huyu mleta maada anajaribu kuona kama kuna uhusiano wa lema wakati akiiba gari na kesi ikiwa mahakamani baada ya kushikwa na polisi kumtumia huyo wakili ili kushinda kesi. Jamani kwani hamwezi kuunganisha nukta? wake up you great tanks
 
Back
Top Bottom