Kuna uhusiano kati ya Lema na yule Wakili bilionea wa Arusha?

Ndiyo wanahusiano cz mmja ni mbunge na mwingne ni mpiga kura ktk jimbo la mbunge huska...hpe umeridhika ryt...
 
Lema ni director of politics na huyo wakili ni director of legal affairs of the same cartel...............! Habari zaidi mtafute Zombe!
 
Mkuu naona unataka kulazimisha siasa CDM vs CCM katika hiyo case ya huyo wakili bilionea wa Arusha.....!
kama zipo tetesi za siasa, basi tafuta ushahidi toshelezi ulete hapa jamvini!
 
Mbona ni mtu wa Mungu huyu....

"......Events of the day became dramatic when the bishop invited lawyers Medium Mwale and Ezra Mwaluko who were representing the two sides of the dispute to the alter to thank them for their part in the settlement of the dispute.

The lawyers could not control their emotions and were both wiping tears as they stood before the church to accept the bishop's appreciation.
In his short response the St. James parishioners lawyer Mwale said he believed the dispute blocked God's grace to his people. He said the positive developments would now open for that long awaited grace to flow again to the harmonious children of God.

He commended the bishop for his humility that was exemplary to the other church clerics in the society....."

from: allAfrica.com: Tanzania: Arusha Anglican Church Resolves Condom Fuelled Row
 
Jamaa ndiye aliye fadhili kampeni za Lema mwanzo mwisho

uzushi ! lema kafanya fund raising na mi pia nilichangia tena alikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anataka kugombea mb rombo, but akatoswa na wanachama. acha urongo
 
Kumekuwa na taarifa za kuhusu huyu wakili maarufu wa Arusha aliyekamatwa kwa tuhuma za money laundering, kuna mtu wakati naongea naye nikaona anajaribu kumwuunganisha huyi wakili katika kufahamiana na Godbless Lema wetu wa Chadema. Hivi ni kweli huyu wakili ana uhusiano wowote (kibiashara, kindugu, kikazi, kichama, n.k) na Lema? Mwenye taarifa atujulishe tafadhali?
<br />
<br />
we utakuwa na safura.! Yani ulikuwa unaongea na mtu akajaribu kumhusisha na mhe.Lema. Sasa kwanini hukumwuliza akupe full details badala ya kuja kuuliza huku JF?

Huyo uliyekuwa naye ni source na alipomhusisha na Lema ulipaswa kumuuliza aweze kukupa taarifa kamili.

Kama unajaribu kumchafua Lema kwa style hiyo, Katafute dawa ya minyoo mjomba!
 
]Kumeku[/COLOR]wa na taarifa za kuhusu huyu wakili maarufu wa Arusha aliyekamatwa kwa tuhuma za money laundering, kuna mtu wakati naongea naye nikaona anajaribu kumwuunganisha huyi wakili katika kufahamiana na Godbless Lema wetu wa Chadema. Hivi ni kweli huyu wakili ana uhusiano wowote (kibiashara, kindugu, kikazi, kichama, n.k) na Lema? Mwenye taarifa atujulishe tafadhali?
KUMEKU ni jina la aina ya miti ya mirungi inapatikana kwa wingi maeneo ya Kariobange nchini Kenya.
 
Kwani yale magari Lema unadhani alikuwa anamuzia nani kama sio huyu Wakili
<br />
<br />
Wewe unafahamu magari ya Mwale au unajaribu tu kuunganisha na umbeya wa mtaani? Lema alishawahi kuiba Escalade? Unafikiri kwa kutumia Masaburi wewe!
 
Back
Top Bottom