Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
Habari!

Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.

Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.

Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.

Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.

Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?

Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia?
 
Inakuwa ni rahisi kuweka wazi taarifa yake pale akitibiwa katika hospitali zenye kueleweka, lakini wakienda kwenye tiba za jadi, inakuwa ni ngumu kusema.
 
Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.
Huku kwetu wanaogopa kunyang'anywa cheo

Ila ni ajabu mbona Mkwere aliwatangazia walipa kodi na dunia na akaenda kutibiwa
 
Magufuli alikuwa ni muoga ndo maana alificha status ya afya yake
Habari!

Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.

Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.

Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.

Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.

Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?

Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia

Back
Top Bottom