Kuna tofauti yeyote kati ya Maalim Seif vs Augustino mrema

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
1. Kila moja katika hawa akipingwa lazima uondolewe

2. Wamekaa kwenye nafasi hizo muda mrefu sana

Hivi kuna tofauti kati ya hawa wanasiasa??
 
1. Kila moja katika hawa akipingwa lazima uondolewe

2. Wamekaa kwenye nafasi hizo muda mrefu sana

Hivi kuna tofauti kati ya hawa wanasiasa??

Hawana tofauti hawa, wanaendesha vyama kama NGOs zao na siyo SEIF na MREMA tu, hata MBOWE CHADEMA, akitokea mtu kutaka kuchukua Uenyekiti wa CHADEMA lazima aondoke. Nguvu za ZITTO KABWE ziko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom