Kuna taharuki makao makuu ya FFU ukonga

Milale

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
494
189
Wanajamvi nimepita hapo maeneo ya ukonga mda huu,kuna kundi kubwa la makomando wa kijeshi pamoja na FFU wakiwa wamebeba siraha n
zito nzito,na makomando wa kigeni pia wamekusanyika makundi makund,na siraha na magar yote yamesimamishwa,mwenye kuelewa zaid atufahamishe wana jamvi,maana watu wameanza kupata hofu.
 
Hivi waziri wa ulinzi ana uwezo wa kumwagiza au kumwajibisha mkuu wa majesh.Nan n mzito zaidi kati yao?
 
Kikosi cha Spain World cup
goalkeepers
Icke Casilas
Pepe Reina
De Gea
 
Back
Top Bottom