Kuna taarifa kuwa wapinzani watasusia vikao vyote vitakavyoongozwa na Chenge, kwa kuwa ana kashfa

Habari wanabodi,

Kuna taarifa kuwa, ili kuonesha kuchukizwa na Ufisadi/Rushwa. Wapinzani wamekubaliana kutoka nje kwenye vikao vyote vya Bunge vitakavyoongozwa na Chenge.

Hii imefikiwa kwenye kikao kilichofanyika jana wakati wakijadili swala la matangazo ya Bunge kutotangazwa live TBC.
Hiyo tabia ya kususa kwa kuwa tumeshaizoea miongoni mwao hakuna jipya linaloakisiwa hapo-bado wapinzani ni wale wale
 
Habari wanabodi,

Kuna taarifa kuwa, ili kuonesha kuchukizwa na Ufisadi/Rushwa. Wapinzani wamekubaliana kutoka nje kwenye vikao vyote vya Bunge vitakavyoongozwa na Chenge.

Hii imefikiwa kwenye kikao kilichofanyika jana wakati wakijadili swala la matangazo ya Bunge kutotangazwa live TBC.
wabunge wa upinzani wasiokuwana ufisadi ni cuf na act .sasa chadema.wanatoka nini ?ikiwa ifisadi kwao ni sawa
 
Ningeshauri hata JPM asiwe anaangalia vikao vya bunge vitavyoongozwa na huyu FISADI Chenge , maana hata kwenye kampen hakumnadi ..
 
Wasihofu..wakiingia tena atawashughulikia.Ila next time wasisahau kuvaa helmet na gas mask.
images
 
Ukawa Walishawapa sisiemu silaha ya kuwapiga nayo walipompokea lowassa! Mwenye nguvu sasa hivi na hoja ya ufisadi ni ACT.
Ukawa waache unafiki.

Hii imekaa vizuri sana, ili JPM kama anaweza awapeleke wote Lowassa na Chenge kwenye mahakama ya mafisadi iliyoko ikuluni kwake!!

Kwa move hii tayari bunge linakuwa limeadhiriwa kwa mara ya kwanza kwa kupoteza mwenyekiti wake na nina hakika wakiwapeleka hawa mahakamani, Chenge atatiwa hatiani na Lowassa atasafishwa rasmi maana siku zote hawana na hawajawahi kuwa na ushahidi wa kumtia hatiani huyu jamaa!!
 
Habari wanabodi,

Kuna taarifa kuwa, ili kuonesha kuchukizwa na Ufisadi/Rushwa. Wapinzani wamekubaliana kutoka nje kwenye vikao vyote vya Bunge vitakavyoongozwa na Chenge.

Hii imefikiwa kwenye kikao kilichofanyika jana wakati wakijadili swala la matangazo ya Bunge kutotangazwa live TBC.
Mbona hawasusii vikao na fisadi wao ambaye kaenda dodoma. Ufisadi si agenda tena maana ukawa wanaye mmoja mkubwa waliotuambia ni fisadi kwa zaidi ya miaka 8 na kwenye original version yao alikuwa no. 3.
 
Nyoka wa makengeza anayeona pesa tu sasa ni mwenyekiti wa Bunge. Maadili yako wapi? Rada, Escrow na mengine ambayo hayajasemwa. Tabia na matendo ya kiongozi huakisi tabia za jamii husika. Watanzania wote hawachukii ufisadi wanasema tu.
 
Habari wanabodi,

Kuna taarifa kuwa, ili kuonesha kuchukizwa na Ufisadi/Rushwa. Wapinzani wamekubaliana kutoka nje kwenye vikao vyote vya Bunge vitakavyoongozwa na Chenge.

Hii imefikiwa kwenye kikao kilichofanyika jana wakati wakijadili swala la matangazo ya Bunge kutotangazwa live TBC.
Ukweli ni kuwa Uwepo wa chenge kama Mwenyekiti wa Bunge ni kejeli kwa serikali kuwa itapambana na ufisadi. Kama kinara wa madili ya mali za umma ndiye mwenyekiti, watanzania wategemee nini? Naamini shetani na Mungu hawataweza kuwa na shabaha moja kamwe. Namkubali sana Dr JPM lakini uwepo wa chenge ni aibu ndani ya utawala wake na serikali nzima ya ccm iliyoapa kupambana na ufisadi.
 
Back
Top Bottom