Kuna taarifa kuwa kampuni ya AVIS Tanzania nayo imefunga biashara na sasa inauza magari yake

Na ukiwa huna akii za kushikiwa utajiuluza ni kwanini biashara zinazoripotiwa kufungwa ni nyingi katika siku za hivi karibuni.
Sio tanzania tu tesla inapunguza 5% ya wafanyakazi general motors inapunguza matawi marekani na apple wanatarajia kuhama china ni mfano wa makampuni nje ya tanzania yanayofunga biashara, akiri zenu zinafikiria kuilaum tu serikali kama watoto mliozaliwa jana hamjui mambo yanavoenda kwa ziada 80% ya biashara mpya zinakufa ndani ya mwaka mmoja na 60% ya 20% iliobakia zinakufa ndani ya miaka mitatu. Hakuna jambo jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na kuuza magari yake yote.

Je, wadau, habari hii ni ya kweli?

Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?
Utawala wa dikteta unaua biashara ubinafsi kisha unalalamika kodi zinapungya
 
Kuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na kuuza magari yake yote.

Je, wadau, habari hii ni ya kweli?

Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?
Wanafunga biashara kwa vile Mjomba kawabada wakwepa kodi. Tunyooshe Mjomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom