Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,023
- 144,381
Akili za kuambiwa....?Waondoke tu! Mh. Rais alishasema wababaishaji wote lazima watakimbia jijini. Hao nao acha waondoke!
Changanya na zako....!
Kama ni hivyo, kipi kiliwafanya muanze kuwabembeleza wafanyabiashara wanaofunga biashara zao?Walikuwa wababaishaji waache waende vipi ndiyo walikuwa wanakuweka mjini?
Namsikitikia aliyekulike!Waondoke tu Tanzania tunauwezo wa kujienda ukiachana hvyo vikampuni uchwara, walizoea kukwepa kodi
Kwani AVIS INA umuhumu gani hapa TZ?
Sio tanzania tu tesla inapunguza 5% ya wafanyakazi general motors inapunguza matawi marekani na apple wanatarajia kuhama china ni mfano wa makampuni nje ya tanzania yanayofunga biashara, akiri zenu zinafikiria kuilaum tu serikali kama watoto mliozaliwa jana hamjui mambo yanavoenda kwa ziada 80% ya biashara mpya zinakufa ndani ya mwaka mmoja na 60% ya 20% iliobakia zinakufa ndani ya miaka mitatu. Hakuna jambo jipya.Na ukiwa huna akii za kushikiwa utajiuluza ni kwanini biashara zinazoripotiwa kufungwa ni nyingi katika siku za hivi karibuni.
"mungu" amesema!Waondoke tu! Mh. Rais alishasema wababaishaji wote lazima watakimbia jijini. Hao nao acha waondoke!
Asshole!
Swadakta, basi jitahidi nawe kuwa unachanganya na zako.Hayo ya kusema "fulani alisema" ni kiashiria cha kwamba umetosheka na kuridhika na kauli za huyo fulani kwamba ni sahihi kwa 100%Changanya na zako....!
Ni sahihi kwa wababaishaji wote kukimbia mji. Umebaki wewe!Swadakta, basi jitahidi nawe kuwa unachanganya na zako.Hayo ya kusema "fulani alisema" ni kiashiria cha kwamba umetosheka na kuridhika na kauli za huyo fulani kwamba ni sahihi kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sijaelewa any translater?
"Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa".Ni sahihi kwa wababaishaji wote kukimbia mji. Umebaki wewe!
Na ukiwa huna akii za kushikiwa utajiuluza ni kwanini biashara zinazoripotiwa kufungwa ni nyingi katika siku za hivi karibuni.
Utawala wa dikteta unaua biashara ubinafsi kisha unalalamika kodi zinapungyaKuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na kuuza magari yake yote.
Je, wadau, habari hii ni ya kweli?
Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?
Hujui kitu nenda kakojowe ulaleKampuni ya wamarekani haijawahi kuwa hivyo inawezekana ww hujui kitu hawa ndo wenye sigara maarufu Marlboro,
Walikuwa wanalipa mishahara mikubwa sana magari yao mengi walikuwa wanatumia Ford au Audi, Sales Rep wao tu mshahara ni balaa!
Wanafunga biashara kwa vile Mjomba kawabada wakwepa kodi. Tunyooshe MjombaKuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na kuuza magari yake yote.
Je, wadau, habari hii ni ya kweli?
Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?