Kuna Shida gani PAYPAL

Mkuu kwenye sehemu ya kuchagua kadi hakuna kinachoonekana wakati wa kufanya express checkout
Hii inatokana na bidhaa unayo taka kulipia, kunabaadhi ya bidhaa huwezi kulipia kwa Virtual card (M-PESA, Airtel Money n.k), mpaka uwe na Physical card yaani kadi za bank kama Equity, Crdb, Nmb, n.k

Ningependa kujua bidhaa unayotaka kulipia ili niweze kukupa muelekeo.
 
No huwa nalipia sio mara ya kwanza na kwenye paypal yangukuna virtual cards pamoja bank debit card.Vendor ninaye mlipa sio mara ya kwanza namlipa at least kila mwezi nafanya naye transactions kadhaa.
 
Ondoa virtual card kisha zibaki kadi za benk, kisha karibu kulipa, ikihoma kuonesha kadi zako kwenye checkout, jaribu pia vendor mwingine kama pia itashikana nijulishe.
 
Sio first time na nimejaribu Other vendors.Shida iko pale pale.Isije kuwa ina uhusiano na UHABA wa USD kwenye Nchi yetu.
 
Hivi havina uhusiano wa kupelekea kuto kudisplay kwa kadi kwenye checkout.
Kutakuwa na shida katika account yako jaribu kuwasiliana nao.

Kama kungekuwa na uhaba wa USD kadi zingeonesha ila ungepepata ujumbe wa "Card Declined by bank/financial"
 
unganisha paypal yako na Mpesa visa card fanya malipo

Iyo ndio njia simple
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom