Kuna rafiki yangu kaoa kikojozi.

Mweeh huyo mwanaume kiboko hata week haijaisha siri za chumbani ameshapeleka kwa rafiki!
Anyway awe anamuamsha usiku,if it doesn't work then wakamuone doctor..
 
Mweeh huyo mwanaume kiboko hata week haijaisha siri za chumbani ameshapeleka kwa rafiki!
Anyway awe anamuamsha usiku,if it doesn't work then wakamuone doctor..
Si kiboka wala nini, mana alipo kojoa mke wake akamuliza vipi tena mbona umejikojolea ktandani unaumwa, ndipo yule mke wake akamjibu ana matatizo hayo toka zamani.

Hapo lazima ujuwe brain storm yake inafanya kazi, hataki kungojea bada ya mwaka ndo anze kutafuta njia zitakazo weza msaidia mke wake.
 
ni mke wake anadanganya ni mke wa rafiki yake, hujashtuka tu!? Rafiki kaoa alhamisi kalala na mke siku 2 tayari kashamfikishia fazaa habari! Lol uongo bana ni mke wa fazaa
Hahaha sasa kama mke wangu yanini nisiseme mke wangu?

Afu kutokana na waislam mwanaume anapo sema mke wake ni mke wa jamaa hata kama ni utani ujuwe kisha muwachaa....na mimi sio kichaa niseme mke wangu sio wangu ni singizie wa mtu mwingine.

Mimi sio wale vichaa ambao wanakataa kama hawajaoa...au kugeuza mke wake kuwa wa mtu hata kwa joke.

FYI, I love my wife and I'm proud to say it...hata kama angekuwa kikojozi ningeishi naye kama anvyo ishi rafiki yangu na mke wake huyo mpya.
 
Kweli nisinge jua sababu mke wake asinge niambia mimi angeambia marafiki zake :A S shade:

@Thread, ushauri mzuri tamfikishia jamaa.

Wanawake wanaficha sana siri za madhaifu ya waume zao. Alhamisi ndoa leo siri kashaambiwa rafiki!
 
Wanawake wanaficha sana siri za madhaifu ya waume zao. Alhamisi ndoa leo siri kashaambiwa rafiki!
Hahaha kuna wanawake usiku ule ule wa harusi zao, wanasema wanaume zao hawawezii kupiga vitu, mbona kesi ni nyingi tu nazijua, acheni kujisifia :A S shade:
 
Badala ya kutangazia umati (sababu hakuna siri ya watu wawili) angejaribu kumsaidia na kuomba ushauri wa kitaalamu (huu unaweza kuwa ugonjwa), na unaweza kutibika ila ni vema kujua sababu mapema.
 
Badala ya kutangazia umati (sababu hakuna siri ya watu wawili) angejaribu kumsaidia na kuomba ushauri wa kitaalamu (huu unaweza kuwa ugonjwa), na unaweza kutibika ila ni vema kujua sababu mapema.
Kutangazia umati?

Hivi kiswahili mimi nakijua au sikijui? nin mana ya umati?

Afu wewe umeisha mjua rafiki yangu?

Kwani hapa hakuna wataalamu.
 
du wanaume wa siku hizi,kaoa alhamisi tayari jmosi shaushi kashajua mke kikojozi!
 
wewe Fazaa duh kumbe ndio wale wanaharusi, duh!

Mwambie asiache kumpenda. Lbda wakilala vitanda tofauti bibie atafikiria na kuona ndoa inakimbia na atashughulika, maana ainaelekea alijua ana hilo tatizo ila ndio hayo tena hakumwambia mumewe. Mumewe angejua mengi kabla ya ndoa, ndo maana inabidi kutest mengi siku hizi, maana kila binti anataka kuolewa.

Ila hadi amekwambia haraka hivyo hiyo honeymoon haiendi salama huko, I guess.

Ndio hivyo mwambie ni mapenzi. ila nawewe usionyeshe unajua jamani au kusumulia bibi yako eti unampa siri ya watu.
 
dah,hapa ndo nauthibitisha ule usemi wa test b4 use it thou ni dhambi. swali kwa fazaa km mwomba ushauri ili umpelekee hyo rfk ako. je mkewe aliwah kumwambia hlo tatzo b4 ndoa?je hawakuwah kulala pamoja b4 ndoa? hebu jibu kwanza
 
Asipende kunywa masaa machache kabla ya kulala. Anaweza akawa anategesha alarm iwe inamuamsha kwenda kukojoa.
Matatizo mengi jamani acheni yabaki kuwa siri yenu. Ni aibu kuhadithia marafiki.
 
Afu kutokana na waislam mwanaume anapo sema mke wake ni mke wa jamaa hata kama ni utani ujuwe kisha muwachaa....na mimi sio kichaa niseme mke wangu sio wangu ni singizie wa mtu mwingine..

Uislam gani huo unaosema utoe siri za mkeo hata kama ni mtalaka mambo chumbani ni vitu ambavyo we will take to the grave with us. Usisingizie dini na kumbe you have long way to learn.

Mimi sio wale vichaa ambao wanakataa kama hawajaoa...au kugeuza mke wake kuwa wa mtu hata kwa joke.

FYI, I love my wife and I'm proud to say it...hata kama angekuwa kikojozi ningeishi naye kama anvyo ishi rafiki yangu na mke wake huyo mpya.

Kama unampenda mkeo well and good but humpendi rafiki yako, angekuletea story hizo ungemwambia nini ni haki na ustaarabu. Siyo unakuja hapa huku unapayukwa, jamani wanaume wamekwisha siku hizi waliobaki ni vya kiume.

Ovyoooo
 
Uislam gani huo unaosema utoe siri za mkeo hata kama ni mtalaka mambo chumbani ni vitu ambavyo we will take to the grave with us. Usisingizie dini na kumbe you have long way to learn.
Kwani huyo ni mke wangu? Hebu rudia ukasome afu wewe uislamu unao ongela ni upi? sidhani kama kuna uislamu unakataza kutafuta njia ya kumtibu au kumsaida mke wako....FYI kuna watu wanawapigia simu mpaa ma muftii na kuwauliza maswali ya ndani na wanakutana nao live na hao masheikh sijasikia kama kosa....We ndo kajifunze uislamu mana nyie mnajidai uislamu mnaujua na bado ku ujua.

Kama unampenda mkeo well and good but humpendi rafiki yako, angekuletea story hizo ungemwambia nini ni haki na ustaarabu. Siyo unakuja hapa huku unapayukwa, jamani wanaume wamekwisha siku hizi waliobaki ni vya kiume.

Ovyoooo
Unajua hata vichaa wanajua kupiga kelele, sa mbona naona kelele tu zisio na point, wewe unataka kuongea nini hapa mana bado sijakuelewa....Au unataka kusema ni kosa kumtafutia dawa mke wako au njia ambazo zinaweza kumtibu?

Afu unaposema wanaume wamekwisha unakusudia nini?
 
Kutangazia umati?

Hivi kiswahili mimi nakijua au sikijui? nin mana ya umati?

Afu wewe umeisha mjua rafiki yangu?

Kwani hapa hakuna wataalamu.

Issue ni kwamba huyo rafiki yako kukwambia wewe issue za mke wake hajamtendea haki mke wake.., au wewe unaona sawa mke wako akiwaambia mashoga zake matatizo yako ya ndani... (unless wewe ni mtaalamu ungeweza kumsaidia sioni logic ya yeye kukwambia wewe).., hata kama wewe ni mtaalamu angeweza kukwambia kwa siri kwamba matatizo ya mtu mzima kukojoa ni nini na sio mke wangu anajikojolea..
 
Asipende kunywa masaa machache kabla ya kulala. Anaweza akawa anategesha alarm iwe inamuamsha kwenda kukojoa.
Matatizo mengi jamani acheni yabaki kuwa siri yenu. Ni aibu kuhadithia marafiki.
Unakusudia maji au pombe? mana huyo mwanamke si mlevi, kama maji inabdi nimulize mme wake labda anakunywa sana maji kabla ya kwenda kulala.
 
Issue ni kwamba huyo rafiki yako kukwambia wewe issue za mke wake hajamtendea haki mke wake.., au wewe unaona sawa mke wako akiwaambia mashoga zake matatizo yako ya ndani... (unless wewe ni mtaalamu ungeweza kumsaidia sioni logic ya yeye kukwambia wewe).., hata kama wewe ni mtaalamu angeweza kukwambia kwa siri kwamba matatizo ya mtu mzima kukojoa ni nini na sio mke wangu anajikojolea..
Unapo kuwa na rafiki yako unamchukulia kama ndugu yako...angeweza kwenda kumuambia mama yake au ndugu zake, lakini anajua wazi sisi rafiki zake tunaweza kumsaidia na hatuwezi kumdharau mke wake.

Rafiki yako ambaye anakuthamini lazima na wewe umthamini...Angejua sisi washenzi asinge tuambia.
 
Mkuu taratibu, najua kama si mkeo bali pia haipaswi kujua kama anajikojolea na kma huyo mshikaji wako anataka ushauri wewe ndio umekuwa mufti na kama ni muelewa zaidi mbona umekuja tandika hapa hii habari.

Usikonde basi...
 
Back
Top Bottom